Sasa unataka akuletee picha za magari zote za Mobius ambazo zimeuzwa so far? Una akili timamu lakini? Wewe hebu tuletee picha za hii mabati mliyouza so farBasi ni hzo tu hautaki kukubali kama ni white elephant project au?? 🤣🤣🤣 hii dunia ina maajabu wakat probox zimejaa over 90% ya gari zote kenya
Alete idadi mpaka leo mobius kauza gari ngapi zikizidi 7 mpaka 10 munitag 🤣🤣🤣 nyie munafkiri muko nairaland hapaSasa unataka akuletee picha za magari zote za Mobius ambazo zimeuzwa so far? Una akili timamu lakini? Wewe hebu tuletee picha za hii mabati mliyouza so far View attachment 2593556







You're a high school leaver arguing with an engineer about engineering and you think you're bright. Talk to me slowly I explain these things to you.Then you must be among the stupid Kenyans
wamekosa pozi 😅😅😅
Alete idadi mpaka leo mobius kauza gari ngapi zikizidi 7 mpaka 10 munitag 🤣🤣🤣 nyie munafkiri muko nairaland hapa
Hilo gari uliopost ni kampuni ya nyumbu ya jeshi na nikwaajili ya jeshi tu so usichanganye pombe na chai
Acheni hii battle hapa mnawapa wakunya nafasi ya kupumuaHiv viji investment uchwara
ngoja nitulie nikunyooshe kaa kwakutulia

Uchumi mkubwa hutoa ajira kibao kila mwaka.Kishindo kingine 2023/24
Nini hii inafanana chura? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa unataka akuletee picha za magari zote za Mobius ambazo zimeuzwa so far? Una akili timamu lakini? Wewe hebu tuletee picha za hii mabati mliyouza so far View attachment 2593556