Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, a reason I said suala la elimu na afya halihitaji siasa kabisa, I understand your positivity, and so am I,
Hizi sekta ni lazima zipewe kipaumbele,
Ukiangalia mishahara ya watumishi wa hIzi sekta kama TANESCO na Mamlaka za Maji za zote za mikoa , ukalinganisha na Wanavyolipwa watumishi wa sekta za afya na elimu ni Mbingu na ardhi, licha ya kuwa watumishi wa afya na elimu wanatumika sana kama punda, plus udharirishaji na matusi juu.
Uwekezaji kwenye sekta za Umeme + Maji ukilinganisha na sekta za afya na elimu ni Mbingu na ardhi,
Hapa sababu kuu ni moja, kwenye Maji na umeme kunazalisha pato, iwe uwekezaji au vyovyote vile wanasiasa wananufaika (Cash Cows) , kuna ulaji huko .
Maana yangu ilikuwa,
1. Serikali iwe serious kuwekeza kwenye elimu, pia zifanyike reforms , maslahi ya wafanyakazi pamoja na mazingira ya kufanyia kazi viboreshwe,
Kusiwe na mtu tena anafeli kisha anaqualify kusomea ualimu akafundishe wengine. Hii pekee inadhihirisha hatupo serious .
Usipokuwa serious na suala la elimu huwezi kuwa serious na chochote .

2. Uwekezaji Sekta ya Afya, isiwe kisiasa, yaani kujenge vituo mobu vya afya na hatuna hata clinical officer hapo, hatuna medical equipments wala medicines, yaani ukiondoa Muhimbili, Ben Mkapa, Aga khan trust me hakuna taasisi nyingine yenye vifaa vya kujitosheleza nchi nzima hii.
How much do we need ( tukiwa na $200m) kwa kuanzia
Tunaweza weka vifaa vya kisasa angalau kwa kiasi kwenye hospitali zetu za mikoa yote 31 (za rufaa)
Kisha tukiwa na wataalam wa kutosha, angalau wenye maslahi ya kujimudu basi we are good to go, later on tunaboresha kwenye eneo la pharmaceutical. Ile pesa ya Covid-19 ilikuwa na uwezo wa kusovu yote haya vizuri kabisa, but where is the money?
Somehow tunaona kuna some will ku train hawa Specialists inaleta mwanga walau tunajua nini cha kufanya,
Mkuu, mshahara wa Medical Doctor aliyehitimu shule ya medicine ya miaka 6 ni around 400$ , hii ni pesa ndogo sana. Ndio unakuta mtu ana practice kama MD kisha ana shmba la matikiti analima pia, malpractice. Graduate aanzie $750
Na graduate mwalimu aanzie $500
This is possible.
Sijajua kama Viongozi wa nchi hii wanajua ni how much billions of $ zinaenda India na ulaya na marekani kwa ajili ya pharmaceuticals, I mean Billions of $ kila mwaka, naijua vema hii sehemu ambayo wengi hawaijui.
Kwani kuna rocket science gani kununua mitambo, kuinstall na kuanza kuzalisha generic molecules ambazo tayari zipo ?
Kazi ya hawa wakemia na wafanasia ni nini ?
Nchi hii ina wafamasia karibu 4000, tunawatumiaje? Kudispense na ku order dawa really?
Bado hatujawa serious
Kwanza pole Sana mkuu kwa uchungu ulionao katika sector ya afya. Ila unachosema hakina ukweli kwasababu Mimi ni mdau pia katika hilo eneo:
1)Mishahara yote ya watumishi serikalini imepangwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na viwango vya Mishahara vinategemea viwango vya "PGS". Madaktari ndio wapo juu wakifuatiwa na Engineers, kwahiyo Mishahara haitegemei sector.

Kuna baadhi ya vitengo vya serikali Kama vile "TRA", mwanzoni vilipewa "special treatment", lakini hivi hasa haipo hata nao wako katika mfumo huo wa PGS.

Senior specialist kwa Sasa anapokea Tshs 3.6M kabla ya makato, wakati MD anayeanza kazi Leo anapokea Tshs 1.8M kabla ya makato, Pharmacist Tshs 1.6M, a Nurse Tshs 1.5M.

Mkuu, Bajeti ya wizara ya Afya ni mara mbili ya Bajeti ya wizara ya maji, ni miongoni mwa wizara zinazipewa Bajeti kubwa Sana ikiwemo Bajeti ya Kilimo na Elimu, fuatilia Bajeti ya mwaka huu utakubaliana na Mimi.

Tanzania ni nchi inayoongoza katika uwekezaji katika Afya, Hakuna nchi yoyote inayoifikia Tanzania katika ukanda huu yenye Hospital nzuri na bora, upatikanaji wa dawa hivi Sasa ni zaidi ya 80%, upatikanaji wa vifaa tiba ni zaidi ya 70%

Mkuu, tatizo lako kubwa ni maslahi kwa watumishi wa Afya, Kuna uwezekano mkubwa wewe ni mtumishi wa Afya, kiukweli ni kwamba Medical doctors ndio wenye kuanza na PGS ya juu kuliko watumishi wengine wa serikali, fuatilia hilo na unirekebishe Kama nimekosea.

Mishahara ya watumishi wa serikali ipo kisheria, huwezi kuipandisha kiholela tena kwa upendeleo, ikipanda ni wote, sio sector moja au mbili.
 
Image


Image


Image

Image


Image
 
Hua muna claim ni watanzania lakini sijawah sikia mukiwarudisha kwao tanzania sijawah kuskia 🤣🤣🤣 na ingekua kweli ni watanzania trust me mungeshawarudisha siku nyingi sana
Ingia tiktok kaka kuna mbongo anajiita iddy amin leo kawatupia kitu wakenya wanataka kuanza kuwatafuta Watanzania waishio kenya wawalipizie 😃
 
Back
Top Bottom