Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtz atakuja kuwa ombaomba Kenya, hakuna na haitoweza kutokea, hao ni Wakenya wenzenu, sisi huku hilo suala la ombaomba tulishalikomesha mda mrefu, wamebaki ombaomba wachache sana. Kingine ni kwamba kama wangekuwa ni Watz mngeshawarudisha kitambo kutokana na chuki mlizonazo dhidi ya watanzania plus roho mbaya mlizonazo Wakenya.
 
Image
 
Kwanza pole Sana mkuu kwa uchungu ulionao katika sector ya afya. Ila unachosema hakina ukweli kwasababu Mimi ni mdau pia katika hilo eneo:
1)Mishahara yote ya watumishi serikalini imepangwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na viwango vya Mishahara vinategemea viwango vya "PGS". Madaktari ndio wapo juu wakifuatiwa na Engineers, kwahiyo Mishahara haitegemei sector.

Kuna baadhi ya vitengo vya serikali Kama vile "TRA", mwanzoni vilipewa "special treatment", lakini hivi hasa haipo hata nao wako katika mfumo huo wa PGS.

Senior specialist kwa Sasa anapokea Tshs 3.6M kabla ya makato, wakati MD anayeanza kazi Leo anapokea Tshs 1.8M kabla ya makato, Pharmacist Tshs 1.6M, a Nurse Tshs 1.5M.

Mkuu, Bajeti ya wizara ya Afya ni mara mbili ya Bajeti ya wizara ya maji, ni miongoni mwa wizara zinazipewa Bajeti kubwa Sana ikiwemo Bajeti ya Kilimo na Elimu, fuatilia Bajeti ya mwaka huu utakubaliana na Mimi.

Tanzania ni nchi inayoongoza katika uwekezaji katika Afya, Hakuna nchi yoyote inayoifikia Tanzania katika ukanda huu yenye Hospital nzuri na bora, upatikanaji wa dawa hivi Sasa ni zaidi ya 80%, upatikanaji wa vifaa tiba ni zaidi ya 70%

Mkuu, tatizo lako kubwa ni maslahi kwa watumishi wa Afya, Kuna uwezekano mkubwa wewe ni mtumishi wa Afya, kiukweli ni kwamba Medical doctors ndio wenye kuanza na PGS ya juu kuliko watumishi wengine wa serikali, fuatilia hilo na unirekebishe Kama nimekosea.

Mishahara ya watumishi wa serikali ipo kisheria, huwezi kuipandisha kiholela tena kwa upendeleo, ikipanda ni wote, sio sector moja au mbili.

Hahah, 3.6m gross kwa senior super specialist is still a joke na ni dharau mkuu. Nina exposure kidogo ya hii mishahara.. kuna watu wanakula 15m take home nchi hii na wana kadigrii kamoja tena ka miaka mitatu
Anyway Sawa mkuu , nakusihi haka kamjadala kaishie hapa kisha tujikite kwenye mada yetu pendwa, tusijenufaisha mafukara wa huko kaskazini. Kuna vile inavuotakiwa kuwa na ilivyo, Naelewa your positivity. I am so positive
 
Ingia tiktok kaka kuna mbongo anajiita iddy amin leo kawatupia kitu wakenya wanataka kuanza kuwatafuta Watanzania waishio kenya wawalipizie 😃
Huishi Kenya lakini unapiga mdomo kama mama wa salon. Kipanya mumeuza ngapi?
Image


Image


Image

Image

Image

Image

Image

Image



Image
Basi ni hzo tu hautaki kukubali kama ni white elephant project au?? 🤣🤣🤣 hii dunia ina maajabu wakat probox zimejaa over 90% ya gari zote kenya
 
Hahah, 3.6m gross kwa senior super specialist is still a joke na ni dharau mkuu. Nina exposure kidogo ya hii mishahara.. kuna watu wanakula 15m take home nchi hii na wana kadigrii kamoja tena ka miaka mitatu
Anyway Sawa mkuu , nakusihi haka kamjadala kaishie hapa kisha tujikite kwenye mada yetu pendwa, tusijenufaisha mafukara wa huko kaskazini. Kuna vile inavuotakiwa kuwa na ilivyo, Naelewa your positivity. I am so positive
Suala la 15m kwa degree moja.. wapi huko exactly, serikalin au? Sekta binafsi, MD wa kampuni ya umeme pale pemben ya ubungo flyover ana MBA anapokea 11m
 
Air Tanzania wasiingie huu mkenge si KQ wamesema wataungana na SAA?
Hawa jamaa ndivyo walivyo, wakiona unawazidi, wanakutafuta Ili kuomba ushirikiano, mbona viongozi wao wa bandari hawaji kuomba ushirikiano?, Kwasababu bado wanapokea mizigo mingi, hataki ushirikiano kwasababu wanadhani tutapunguza mizigo yao, ila KQ kwasababu inapata hasara, wanakuja Ili tugawane hasara. Hawa sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom