Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sidhani Kama Tanzania tunaweza kufikiria kitu Cha kijinga Kama hicho, sisi. tunajenga BRT na muda sio mrefu tutaanza light railway", vipi tufikirie huo ujinga, weka ushahidi.

Ninyi ndio mnaoendelea kuja kutupigia magoti

Eti Tanzania haiwezifikiria kitu cha kijinga Kama hiyo? Ona sasa mlivyo wajinga 😂😂😂
 
kilio kipya 😅


Comments zinachekesha balaa……😂😂😂
9ED48CD3-B7CE-4B9B-8055-DF5FA944122A.jpeg
DDA819EE-0EBB-4D89-91B6-F0125E10817D.jpeg
7CF34113-1E71-4DC6-8B33-F233D9E4ED75.jpeg
 
Alete idadi mpaka leo mobius kauza gari ngapi zikizidi 7 mpaka 10 munitag 🤣🤣🤣 nyie munafkiri muko nairaland hapa

Hilo gari uliopost ni kampuni ya nyumbu ya jeshi na nikwaajili ya jeshi tu so usichanganye pombe na chai
Iwe ni ya jeshi was nini kwani si ni gari? Tuambie mmeuza nyumba ngapi. At least sisi unajua tushauza Mobius 7
 
[emoji23][emoji23] the fact that you believe statements like these inaonesha vile wewe ni mjinga. Haya tuambia Tanzania mna charging points ngapi kucharge hizo 5000 cars?
Nenda kawaambie wabadilishe waiweke Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom