Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya kwa Tanga bado sana, Mbeya nimeishi mwaka na kitu nilikuwa Assistant lecturer chuo X.
Kitu Mbeya imezidi Tanga ni idadi ya makanisa tu.
Uliishi miaka gani wewe hater.

Hata kwenye vyuo na vyuo Vikuu,Tanga Ina nini Cha kulinganisha na Mbeya?
 
Oy ChoiceVariable Tanga ni habari nyingine mzee 3 km away from the City center 👇
09b880c57082989afc49cecf09fbf2e9.jpg
.
DSCN3346.JPG
ijue Tanga
 
Mkuu, kwa serikali Afya ni huduma ya msingi Kama chakula, maji, elimu, umeme na makazi, ukivifanya viwe ni ghali(commercial) vinasababisha kupanda kwa gharama za maisha.

Mkuu Kuboresha maslahi na mazingira ya wafanyakazi wa sekta za afya na elimu hakuna uhusiano wowote na kupanda kwa gharama za huduma.
 
Nimepata takwimu rasmi za idadi ya Viwanda na wewe niletee takwimu zote za Tanga .

Mbeya Ina Jumla ya viwanda 1,791.

Viwanda vikubwa -10,vya Kati 20 na vidogo 1,734

-Mbeya cement,
-Pepsi Company ltd,
-CocaCola Kwanza ,
-Mbeya Breweries ltd,
-Tol gases ltd,
-Kapunga Rice Mills,
-Wakulima Tea Company
-Katumba Tea Company
-City Cofee,
-Marmo E.Granito Mines(T) ltd
Screenshot_20230419-121435.jpg
Screenshot_20230419-121400.jpg
 
Nimepata takwimu rasmi za idadi ya Viwanda na wewe niletee takwimu zote za Tanga .

Mbeya Ina Jumla ya viwanda 1,791.

Viwanda vikubwa -10,vya Kati 20 na vidogo 1,734

-Mbeya cement,
-Pepsi Company ltd,
-CocaCola Kwanza ,
-Mbeya Breweries ltd,
-Tol gases ltd,
-Kapunga Rice Mills,
-Wakulima Tea Company
-Katumba Tea Company
-City Cofee,
-Marmo E.Granito Mines(T) ltd
View attachment 2592936View attachment 2592938
🤣🤣🤣 Vi wonder 1700+ 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wadau Hii kitu nimeona kabisa inawezekana kujengwa pale inapo anzia fence ya airport ukiwa unatoka tazara pana mwinuko flan hivi.
Nadhani lazima tuwe na vitu mbalimbali muhimu na vya kupendeza.
maxresdefault.jpg
Leipzig-Frachtflugzeug-der-DHL-auf-dem-Flughafen-Schkeudiz-ueber-der-Autobahn-A14.jpg
GERMANY-TRANSPORT-AIRBUS-A380.jpg
 
Nimepata takwimu rasmi za idadi ya Viwanda na wewe niletee takwimu zote za Tanga .

Mbeya Ina Jumla ya viwanda 1,791.

Viwanda vikubwa -10,vya Kati 20 na vidogo 1,734

-Mbeya cement,
-Pepsi Company ltd,
-CocaCola Kwanza ,
-Mbeya Breweries ltd,
-Tol gases ltd,
-Kapunga Rice Mills,
-Wakulima Tea Company
-Katumba Tea Company
-City Cofee,
-Marmo E.Granito Mines(T) ltd
View attachment 2592936View attachment 2592938
City coffe-Mbeya.
 
Back
Top Bottom