Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Walikuwa wanasema yametoka Tanzania tuwabane kila kona kitaeleweka tu
atus/1647250344391458817?t=LThQyt_fICe-7T3AU3GPtA&s=19
atus/1647250344391458817?t=LThQyt_fICe-7T3AU3GPtA&s=19
Ase we jamaaa unajuanot enough View attachment 2590907
Bigger Budget Bigger njaaa,=kichekeshoWe have a bigger budget
Eti not even close, Karura Forest is 1000 hectors of natural forest within the City. Hio msitu yenu ni hectors ngapi au ni zile miti za estate unaita msitu. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngong Road Forest
![]()
![]()
![]()
Nairobi Arboretum
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nairobi leafy suburbs.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wapi nimesema ni ya mtu wa Mbeya? Punguza kukurupuka..Sasa mbona unasema ni ya mtu wa Mbeya!!! Huku office za New Force usajili wake upo Dar?
Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga.. kaa kwa kutuliaWapi nimesema ni ya mtu wa Mbeya? Punguza kukurupuka..
Sie tulikuwa na mada ya Mabasi ya Dar Mbeya na Dar Tanga bila kujalisha yanamilikiwa na wenyeji au Wageni kwamba Mji gani una Mabasi mengi.
Huna hoja ushaangukia pua.Size ya Tanga ni kina Kahama na Morogoro..Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga.. kaa kwa kutulia
Hapana ndugu yangu hii mada niliifuatilia Tangu juzi.Wapi nimesema ni ya mtu wa Mbeya? Punguza kukurupuka..
Sie tulikuwa na mada ya Mabasi ya Dar Mbeya na Dar Tanga bila kujalisha yanamilikiwa na wenyeji au Wageni kwamba Mji gani una Mabasi mengi.
Jamaa nadhani bado haijui Tanzania.Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga.. kaa kwa kutulia
Mwambie alete hata ya asili ya America hayawezi kuzidi ya Mbeya.Hapana ndugu yangu hii mada niliifuatilia Tangu juzi.
Mwenzako alileta mabasi asili yake ni Tanga.
Ndio maana alikuambia Mabasi hayo huko mbeya yanapita tu.
Basi ukisema hivyo Morogoro itakuwa na mabasi mengi sana.
Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga mzee.. una ubavu twende ground.?Huna hoja ushaangukia pua.Size ya Tanga ni kina Kahama na Morogoro..
Usifananishe Mbeya ni ujinga ujinga,kama hoja ya Mabasi imekushinda unasimamia wapi Sasa?