ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
😁😁😁 Nimekutandika kwenye Mabasi ulikoleta ubishi na huku Mbeya itakunyea.Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga mzee.. una ubavu twende ground.?
Ground ipi? Kuna ground tofauti na hii hapa 👇
😁😁😁 Nimekutandika kwenye Mabasi ulikoleta ubishi na huku Mbeya itakunyea.Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga mzee.. una ubavu twende ground.?
Jamaa haijui Tz kabisa, ni mfuata mkumbo tu mmojaHapana ndugu yangu hii mada niliifuatilia Tangu juzi.
Mwenzako alileta mabasi asili yake ni Tanga.
Ndio maana alikuambia Mabasi hayo huko mbeya yanapita tu.
Basi ukisema hivyo Morogoro itakuwa na mabasi mengi sana.
Hapana ndugu Tanga ipo juu ukilinganisha na Mbeya.Mwambie alete hata ya asili ya America hayawezi kuzidi ya Mbeya.
Naona sasa umehamia kwenye GDP issue ya mabasi umeiacha sasa.😁😁😁 Nimekutandika kwenye Mabasi ulikoleta ubishi na huku Mbeya itakunyea.
Ground ipi? Kuna ground tofauti na hii hapa 👇View attachment 2591056
Seeing is believing, I dare you to show me whatever has been written in your post. Ground Bro .. leo nitasema ukweli ..😁😁😁 Nimekutandika kwenye Mabasi ulikoleta ubishi na huku Mbeya itakunyea.
Ground ipi? Kuna ground tofauti na hii hapa 👇View attachment 2591056
Excuses as usual 😂😂😂Seeing is believing, I dare you to show me whatever has been written in your post. Ground Bro .. leo nitasema ukweli ..
Mbeya hai deserve City status. full stop.. ni aibu tupu
Ndio si mumekimbia mumeshindwa kuleta Mabasi,Hadi nafunga mjadala Mbeya kampuni 17,Tanga 12 Sasa hapo tunajadili nini kingine?Naona sasa umehamia kwenye GDP issue ya mabasi umeiacha sasa.
Hizo zote ni luxury buses kwenda Tanga. Halafu ni based Tanga.Seeing is believing, I dare you to show me whatever has been written in your post. Ground Bro .. leo nitasema ukweli ..
Mbeya hai deserve City status. full stop.. ni aibu tupu
Nakuomba ulete basi from Mbeya yenye hadhi kama hiiNdio si mumekimbia mumeshindwa kuleta Mabasi,Hadi nafunga mjadala Mbeya kampuni 17,Tanga 12 Sasa hapo tunajadili nini kingine?
Mbeya Moja 👇View attachment 2591063View attachment 2591064
Ipo Juu kwenye mdomo wako au? Taja List,kaendelee alipoishia mwenzio kama una jeuri hiyo..Hapana ndugu Tanga ipo juu ukilinganisha na Mbeya.
Mbeya ndio inachipukia sasa.
Mimi siyo mtu wa Tanga, lakini hiki ninachokuambia ni ukweli.
Hata upande wa viwanda Tanga ipo na viwanda vingi mno. Inaweza ikapitwa na Dar tu kwa hapa TZ.
Mzee unachelewa sana ,nakuletea video kabisa ya shabiby line,unafanya marudio tuu
Sijaelewa hii ni nin?Ipo Juu kwenye mdomo wako au? Taja List,kaendelee alipoishia mwenzio kama una jeuri hiyo..
Kuchipukia kwenye nini? Kama Mbeya inachipukia ndio ishawachambia Tanga ni magofu tuu huko.View attachment 2591067
Mzee unachelewa sana ,nakuletea video kabisa ya shabiby line,unafanya marudio tuu
😁😁 Songwe Airport
😁😁 Pole sana brooShabiby ni Dodoma buses mzee.
Tunakuletea Basi za offices Tanga.
Kama hivyo Morogoro itakuwa imezidi mikoa yote.
Tunataka ulete Based Mbeya.
Kumbe ndio maana mumekalia Ubishi hamjui kitu 😁😁😁😁Songwe siyo Mbeya Mzee.
Basi Ukitaka mikoa jirani basi Tanga wataleta Airport ya Kilimanjaro.
Ongeza hiziHizo zote ni luxury buses kwenda Tanga. Halafu ni based Tanga.
DAR TO TANGA
- Ratco express
- Simba mtoto
- Smart express
- Meridian express
- Raha leo express
- Bembea
- Air bus
- Tashrif coach
- Burdan
- Satelite coach