Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karura Urban Forest

Image
not enough
20230417_123445.jpg
 
🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏

Nimeshindwa kuamini kwamba kumbe hawa wenzetu viwanja vyao havina huwezo wa kuhudumia ndege kubwa kubwa, vinaitwa tu international sababu ya sifa ila havina sifa. Imagine hadi KQ kashindwa kutua kwao kaenda kutua kwa jirani. Alafu wajanja wamechagua Entebe badala ya KIA karibu, sijui walijua tungewananga?😅😅😅
E53CAD42-A9B7-47BD-A839-942F2B2A2ECD.jpeg
 
Alikuwa chanzo cha kutofuata taratibu ziwe za manunuzi au upembuzi yakinifu! Tabia ile huleta mwanya wa wizi na kuwa na vitu substandards! Refer ununuzi wa mabehewa ya SGR!
It was inevitable not to pay it; it was how do we pay it, either by agreeing to be exploited over $3B or paying $100 as a penalty for breaching the contract.

Mtu kaokoa zaidi ya $2B .9M kutoka kwa mikataba mibovu, mnaongelea $100M inayolipwa kama fine, na hamuongelei huo mkataba uliovunjwa kwanini ulivunja na ulisiniawa na nani na ulikua unalikost taifa shilingi ngapi?

Waliosign mikataba mibuvu ndio wanamelikost taifa wako mitaani na hakuna anaewapigia kelele, lakini aliyetuokoa kwenye unyonyaji anasimangwa!

EoQPG1gWMAMfkpg.jpg
 
Back
Top Bottom