The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hizo sio za kweli, Kenya haiwezi kufika GDP ya $100b, serikali haina pesa hata ya kulipa mishahara, kuna njaa, hakuna reserve ya kutosha, je hiyo gross domestic product mnaitoa wapi? Pia Tz imeshatoka huko kwenye $80b tupo kwenye $150sb kitambo, soon wataiweka hiyo figure tulia uone. Kenya haiifikii hata kidogo GDP ya Tz.All of a sudden watanzania wanakubali hizi Gdp figures [emoji38]