Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipo Juu kwenye mdomo wako au? Taja List,kaendelee alipoishia mwenzio kama una jeuri hiyo..

Kuchipukia kwenye nini? Kama Mbeya inachipukia ndio ishawachambia Tanga ni magofu tuu huko.View attachment 2591067
We unataka hii battle utaiweza.? 🤣🤣🤣. Mbeya yenyewe sasa 👇
mbeya-tanzania-drone-view-city-600w-2261608027.jpg
1200px-Mbeya_Tanzania.jpg
DdGbOOjX4AASEQ_.jpg
eti City center 🤣🤣 Mavi... hii mbeya labda tulinganishe na lushoto au korogwe lakini sio Tanga City bro
 
Kumbe ndio maana mumekalia Ubishi hamjui kitu 😁😁😁😁

Uwanja wa Songwe uko Mbeya na ndio maana unataka ubadilishwe jina Kwa sababu Uliitwa Kwa heshima ya Mto Songwe na Sasa Songwe ni Mkoa mwingine ila uwanja uko ndani ya Mipaka ya Mbeya km 30 kutoka Citu Centre.
Unatusumbua mzee. Mbeya kwa Tanga bado sana. Wewe huijui Tanga.
Mimi siyo mtu wa Tanga but I tell you Mbeya bado. Hata kwa kilimo chenyewe ni wasiwasi kuipita Tanga mzee.
 
Hizi ni mitaa za makazi ya watu wa kipato cha kawaida .. barabara za namba and guess what zipo 21 zote hizi zina lami 👇 ChoiceVariable toa tongo tongo kwanza.. toka utembee.. hizi barabara za namba pekee ni bora mara mia ya mbeya City center.. sa nikikuletea City center ndio utawezana.?
IMG_20210903_115439_473.jpg
IMG_20210903_115645_009.jpg
IMG_20210903_115556_897.jpg
IMG_20210903_120926_554.jpg
IMG_20210903_115652_081.jpg
IMG_20210903_120935_170.jpg
.. na hizi picha nimeweka wala sio best streets kwa barabara za namba, picha nilipiga random tu..
 
Hizi ni mitaa za makazi ya watu wa kipato cha kawaida .. barabara za namba and guess what zipo 21 zote hizi zina lami 👇 ChoiceVariable toa tongo tongo kwanza.. toka utembee.. hizi barabara za namba pekee ni bora mara mia ya mbeya City center.. sa nikikuletea City center ndio utawezana.?View attachment 2591110View attachment 2591111View attachment 2591113View attachment 2591115View attachment 2591117View attachment 2591118.. na hizi picha nimeweka wala sio best streets kwa barabara za namba, picha nilipiga random tu..
Mbeya bado sana kwa Tanga.
Tanga inachuana na (Mwana & Arusha).
 
Hizi ni mitaa za makazi ya watu wa kipato cha kawaida .. barabara za namba and guess what zipo 21 zote hizi zina lami 👇 ChoiceVariable toa tongo tongo kwanza.. toka utembee.. hizi barabara za namba pekee ni bora mara mia ya mbeya City center.. sa nikikuletea City center ndio utawezana.?View attachment 2591110View attachment 2591111View attachment 2591113View attachment 2591115View attachment 2591117View attachment 2591118.. na hizi picha nimeweka wala sio best streets kwa barabara za namba, picha nilipiga random tu..
Toka Mjerumani awajengee hayo Magofu Bado kuko vile vile hambadiliki tuu nyie mamwinyi wa Tanga? Tuoneshe Kwa matajiri .
20221125_083717.jpg

Kwenu Huwa hakuna hata uoto wa asili?
 
Unatusumbua mzee. Mbeya kwa Tanga bado sana. Wewe huijui Tanga.
Mimi siyo mtu wa Tanga but I tell you Mbeya bado. Hata kwa kilimo chenyewe ni wasiwasi kuipita Tanga mzee.
Nimeshakwambia Bado hapo mdomoni kwako ila Kwa facts huna 😁😁
 
Back
Top Bottom