Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But you dont have food nor proper irrigation infrastructure pia technology ya kujenga maghorofa ni zero.
The reasons for building collapses are clear - corruption within certain govt. departments when it comes to approving constructions, and individual cases of contractors skimping on materials. All this has nothing to do with expertise or technology, just a few greedy individuals, and I am sure you know that.
 
Tom Mboya statue
Image
 
You are deflecting attention from the topic. Anyway, let me humor you - I suppose the skyscrapers we post here were imported from Tanzania, with its wonderful building technology?
Those skyscrapers you are talking about are built by foreign companies the ones you build yourselves we know them they constantly turn into a heap of rubble
 
Naona uzoefu wa sekta za Madini Watanzania Sasa wameshabobea..

Leo kwenye kutia saizi za framework Agreements za Miradi ya Madini zaidi ya 1.5T.

-Tuna share 16% Kupitia kampuni za Ubia zilizoundwa ,shares ni non-dilutable(Ni Tanzania pekee hapa Afrika imefikia status hii),na zinaweza ongezeka
-Tuna share za 47,51 za Economic benefits
-Kwa mradi wa Rare Earth elements wawekezaji wanatakiwa kujenga Kiwanda Cha refinery hapa hapa Tanzania,
-CSR kama kawaida hususani za kwenye miradi ya Maji,Afya,Barabara nl,
-Local contents as usual na hapa kwenye Management za Juu za Kampuni tanzu..
-Kwa mfano kwenye Rare Earth elements initial prospective investment ni dola mil.439 plus,zaidi ya Bil.900 huku Serikali ikitarajia kuvuna zaidi ya Til.11 over the Project Life time.

Kazi nzuri wamefanya hapa Timu ya Majadiliano inayoongozwa na Prof.Kabudi.
 
Naona uzoefu wa sekta za Madini Watanzania Sasa wameshabobea..

Leo kwenye kutia saizi za framework Agreements za Miradi ya Madini

-Tuna share 16% Kupitia kampuni za Ubia zilizoundwa ,shares ni non-dilutable(Ni Tanzania pekee hapa Afrika imefikia status hii),na zinaweza ongezeka
-Tuna share za 47,51 za Economic benefits
-Kwa mradi wa Rare Earth elements wawekezaji wanatakiwa kujenga Kiwanda Cha refinery hapa hapa Tanzania,
-CSR kama kawaida hususani za kwenye miradi ya Maji,Afya,Barabara nl,
-Local contents as usual na hapa kwenye Management za Juu za Kampuni tanzu..
-Kwa mfano kwenye Rare Earth elements initial prospective investment ni dola mil.400 plus,zaidi ya Bil.750 huku Serikali ikitarajia kuvuna zaidi ya Til.11 over the Project Life time.

Muasisi ya haya yote na alieunda hio timu ni mama 👏 kazi iendelee. Unapigwa mwingi
 
Magufuli effect
 
Back
Top Bottom