Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
angalia fala huyu! ati uwanja mdogo imeshindwa kugeuza!
Inalala au vp bro![]()
Sisi kwetu kunatakiwa kuwa hapo baada ya SA, yaani tukidouble tu hizi namba (which is very possible) basi tumefika hapo. God Bless TanzaniaDRC inakuja kwa kasi sana. Ndani ya miaka 10 tutaona tofauti kubwa.
By the way Eastern Africa tunajitahidi.
SADC pia tupo vizuri
Top 10 biggest economies in sub-Saharan Africa in 2023
1. Nigeria $506.6 billion 🇳🇬
2. South Africa $399 billion 🇿🇦
3. Ethiopia $156 billion 🇪🇹
4. Kenya $118.1 billion 🇰🇪
5. Angola $117.8 billion 🇦🇴
6. Tanzania $85.4 billion 🇹🇿
7. Còte d'Ivore $77 billion 🇨🇮
8. DRC $69.4 billion 🇨🇩
9. Ghana $66.6 billion 🇬🇭
10. Uganda $49.7 billion 🇺🇬
- IMF, current prices
Hawana vifaa vya ku-pump mafuta yaani accepted flowrate for A380!Unaweza kukuta JKIA hawana mafuta dollar imekaba kende za KES![]()
That's a good point sioni sababu serikali kuendelea kumiliki ndege inazifanya ziwe vulnerable na kushikwa na wadai wake! serikali kumiliki zile ndege badala ya ATCL ni upuuzi na sijui kama watakuelewa!Serikali ifanye kitu kimoja, kama bado haiwezi kutransfer hizo ndege kwa ATCL basi zile routes korofi zenye vitisho vya kukamata ndege zetu wakodi ndege ndio ziwe zinaende huko, routes kama za SA na Ulaya peleka ndege za kukodi, huku kwingine tufanye biashara na ndege zetu wakati tukiwa bado tunayajenga na hawa wadai wetu. Problem Solved.
Ongea Tena Sasa ,Na huna adabu🤣🤣
suala la vx v8 ni shida aisee! sijui tutalikomesha vp?
Kwnn A380 haijafanya emergency landing JKIA kwani mliuboresha ukawa bora kuliko JNIAFrom SA to Bole lazma zipige Tz Na Ke
But how comes Kenya sky ndio Iko busy pekee???
Ndege zote zinaingia Kenya mostly ni from Europe to jkia.










Naona JKIA iko busyCommon sense.
Jkia Iko busy Hadi 4am
Ndege zinaland within 1 hour
Option ilikuwa either entebee ama Dar(lesser busy ) not even Bole








Kwani ni mara ya kwanza a380 kutua JNIAHypocrites this Tanzanians. They should be glad kuna vita Sudan and their airports are never busy









All of a sudden watanzania wanakubali hizi Gdp figuresSisi kwetu kunatakiwa kuwa hapo baada ya SA, yaani tukidouble tu hizi namba (which is very possible) basi tumefika hapo. God Bless Tanzania

walipe madeni ya ATCL si makubwa kama mikesi ya GoT na wamiliki migodi na vitalu waliotimuliwa na mwendazake bila kufuata utaratibu! Jamaa alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwa na maarifa ya international trade and laws hata kidogo!Shida ATCL nayo inadaiwa, wakimiliki tu zinashikwa…….idea ya Serikali kununua na kumiliki then ATCL ikiwa stable ndio imilikishwe was good since idea ya kufungua Shirika jipya la ndege was complicated kwani ingebidi wasifilisi kwanza ATCL ambapo ingepoteza assets zake zote kufidia madeni.
Well, so far zikija hizo 5 tusinunue zingine, tukodi then tupambane kimafia na hao jamaa, bado naamini tukijipanga kwenye aviation tunatoboa mchana wa saa sita.
Facts.Unatafuta visingizio.?
Mnaenda kuangalia nini kwenye space kama hata kuangalia kwenye surface hamuwezi?![]()









Yule mkulima aliyesababisha ndege yetu kukamatwa Kule Afrika kusini alitimuliwa na Nyerere baada ya kumnyang'anya Ardhi kwa maslahi ya watanzania. Kupanga ni kuchangua.walipe madeni ya ATCL si makubwa kama mikesi ya GoT na wamiliki migodi na vitalu waliotimuliwa na mwendazake bila kufuata utaratibu! Jamaa alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwa na maarifa ya international trade and laws hata kidogo!
Sasa Mwendazake alipokuwa ananunua ndege na kuzimilikisha Tanzania Government Flight Agency inayomilikiwa na serikali 100% hakujua hilo au ubishi wa kipumbavu? mbona old ATC ilikuwepo na ilikuwa ikifanya flights za Johannesburg na ndege zake hazikukamatwa!Yule mkulima aliyesababisha ndege yetu kukamatwa Kule Afrika kusini alitimuliwa na Nyerere baada ya kumnyang'anya Ardhi kwa maslahi ya watanzania. Kupanga ni kuchangua.