The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Nina video nashindwa ku upoload hapa.Namapicha ukipata tupia za kutosha
Nina video nashindwa ku upoload hapa.Namapicha ukipata tupia za kutosha
Hapo landing fees inaingia + refueling of jet A1👏👏👏 na wasafiri wanashuka natumaiAirbus A380 on ground at JNIA. View attachment 2589003
Tulijua lazma mulie tu hakuna namna🤣🤣Hiii nchi yenu ni empty!
Hakuna mandege angani, kwani ni Africa shithole ndani kabisa 😂😂😂
Hii ndege daima haitatua huko kwenye shit holeHiii nchi yenu ni empty!
Hakuna mandege angani, kwani ni Africa shithole ndani kabisa![]()
yenu mana hamna uwanja wa kisasa unaoweza kuimudu hiyo ndege.Hao ghana 🇬🇭 tulikuwa tunachuana nao gdp leo hii wanazidiwa na drcDRC inakuja kwa kasi sana. Ndani ya miaka 10 tutaona tofauti kubwa.
By the way Eastern Africa tunajitahidi.
SADC pia tupo vizuri
Top 10 biggest economies in sub-Saharan Africa in 2023
1. Nigeria $506.6 billion 🇳🇬
2. South Africa $399 billion 🇿🇦
3. Ethiopia $156 billion 🇪🇹
4. Kenya $118.1 billion 🇰🇪
5. Angola $117.8 billion 🇦🇴
6. Tanzania $85.4 billion 🇹🇿
7. Còte d'Ivore $77 billion 🇨🇮
8. DRC $69.4 billion 🇨🇩
9. Ghana $66.6 billion 🇬🇭
10. Uganda $49.7 billion 🇺🇬
- IMF, current prices
Tuliwaambia humu Ghana ni ushuzi wa mbuzi wakabisha, hivi vinchi vya west Africa ni ushuzi mtupu kama Kenya tu uongo uongo na janja janja nyingi.Hao ghanatulikuwa tunachuana nao gdp leo hii wanazidiwa na drc
Aiseeeeeee!











huyu hapa 









Inalala au vp bro 😆😆😆
Kwa roho zenu mbaya mmeumia kuona GDP ya Tz imeandikwa 85 japo ni ya uongo mana gdp ya ukweli ya Tz ni $150b. Hapo imewekwa 85 tu hata kuja jukwaani hamtaki kwa miroho yenu mibaya.tanzanians wamebaki hapa wakijiongelesha wenyewe....![]()
Ongea Tena Sasa ,Na huna adabu🤣🤣Ni kama jaribio la kuwa na BRT………Kenya kama Kenya, nchi ya mikwara miiiingi na kujikweza View attachment 2587955😅😅
Tuendelee kuenjoy maduduMmh huyu Mama.
kutoka $69B hadi $85B ndani ya miaka miwili!
Mbona ana balaa!
Kutokuweka lockdowns za ovyo kumeanza kulipa.
Na bado miradi ya kimkakati haijakamilika.