Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Budget yote wanakula wanasiasa na wafanyakazi wa serikali. Hata pesa ya kusubsidise mahindi hamna!

Then I believe you misinformed… that’s the problem of only relying on media for information knowing very well to media all they care about is ratings so anything that sounds bad they jump on it magnify it to get the viwers hooked
 
Wewe kubwa jiga geza kwani magufuli si hayupo tena. Wanashindwa nini sasa kuzipeleka ATC? Mbona wasukuma wote wanafukuzwa serikalini bado kadogosa tu. Mwambie shoga yako aziludishe ATC usitufokee ujinga wako malaya wewe. Kila siku reli Tv wakitoa video wewe wa kwanza kupost. Unajua nani kaanzisha sgr? Usijizime data na ukome kutaja wasukuma maana hawajambikili mama yako
Mradi wa SGR mchakato ulianza hata kabla ya mwendazake! Wezi na wakabila wakubwa nyie Sukumgang! BTW Mama anagonga 4 lots at once sasa!
 
As for roads you like 10 years behind us coz the kind of roads I see you post while we dualling most of our roads in every county I pity you
pity hahahahhahaaa unachekesha sna wewe me uku nimesha kula naomba ukale ndio uongee na mimi
 
Mradi wa SGR mchakato ulianza hata kabla ya mwendazake! Wezi na wakabila wakubwa nyie Sukumgang! BTW Mama anagonga 4 lots at once sasa!

Sawa kubwa jinga. Tuache na ukabila wetu uzuri huna lolote la kutufanya
 
Haha
Screenshot_2023-04-16-13-41-42-271-edit_com.twitter.android.jpg
 
Na yeye ndio kachagua hivyo Sasa mnamlaumu vipi? Kama Nyerere alikiuka Sheria then ulitarajia mwisho wa siku iweje?
Hakuna anayelaumu Wala kulalamika, Geza ndiye anayemkashifu JPM kwa kufukuza watu bila kufuata taratibu, lakushangaza anamtetea Nyerere ambaye ndiye mwanzilishi wa kufukuza watu bila kufuata taratibu.
 
unapomfukuza mtu uliyempa vitalu kwa sheria zinazotaka arbitration ifanyike London na kushindwa kulinda assets zako huko ng'ambo ni upumbavu uliopitiliza wa Kisukumagang! Kipindi Nyerere anamfukuza mzungu sheria zilizompa ardhi hiyo hazikutaka arbitration ifanyike nje ya Tanzania!

Mbona alishindwa kesi, tena ilifanyika hapa hapa Tanzania kwa kutumia majaji na Sheria zetu wenyewe tulizojiwekea sisi wenyewe, huo utauitaje?
 
Last month was in dah and it’s still as shity as I left it… building inroads is where you draw the line…. Kuna njia mingi sana za mchanga
Daresalaam is a dump......extremely overrated swahili village
 
Back
Top Bottom