Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Rostam ka-recruit CEO wa Solitaire air (fly Jordan)
1516735744422


MY TAKE
Inakaa coastal aviation is rooted for massive expansion!
Kumbe Coast aviation inamilikiwa na Roastam Aziz?
 
Sasa Mwendazake alipokuwa ananunua ndege na kuzimilikisha Tanzania flight Agency inayomilikiwa na serikali hakujua hilo au ubishi wa kipumbavu? mbona old ATC ilikuwepo na ilikuwa ikifanya flights za Johannesburg na ndege zake hazikukamatwa!

Kuna huu mkesi unanguruma huko!
Umesema hakuwa na maarifa ya "International law" ndio maana alifukuza watu bila kufuata taratibu. Swali nikakuuliza, Nyerere ndiye kiongozi wa kwanza kuwafukuza watu bila kufuata taratibu, Ina maana alikua mpumbavu hajui "International law?"
 
Umesema hakuwa na maarifa ya "International law" ndio maana alifukuza watu bila kufuata taratibu. Swali nikakuuliza, Nyerere ndiye kiongozi wa kwanza kuwafukuza watu bila kufuata taratibu, Ina maana alikua mpumbavu hajui "International law?"
Uo ubishi kawaulize ICSID na kwa taarifa yako Nyerere alikuwa anawalipa compensation kama kipindi alivyotangaza azimio la Arusha wale wamiliki wa ardhi walilipwa! halafu sitaki ubishi bila kujua kiunaga ubaga wa hili swala! Ushabiki ndezi wa kumfananisha Magufuli na Nyerere peleka hukooo!

 
Uo ubishi kawaulize ICC na kwa taarifa yako nyerere alikuwa anawalipa compenation kama kipindi alivyotangaza azimio la Arusha wale wamiliki wa ardhi walilipwa! halafu sitaki ubishi bila kujua kiunaga ubaga wa hili swala! ushabiki ndezi peleka hukooo!
Mkuu Mimi ninataka unieleweshe sio ubishi. Mkulima aliyeshikilia ndege yetu Kule Africa kusini alifukuzwa na Nyerere, akafungua kesi hapahapa nchini na akashinda, iweje jambo hilo hilo amelifanya JPM inaonekana ni dhambi kubwa, lakini akifanya Nyerere sio dhambi?.

Mkuu, haya mambo inategemeana na mitazamo ya mtu, pia inategemeana na uwezo wa akili ya mtu. Robert Mugabe amewafukuza wazungu, watu wenye akili ndogo watachukulia tofauti na jinsi watu wenye akili kubwa watakavyolichukulia jambo hilo.
 
Mkuu Mimi ninataka unieleweshe sio ubishi. Mkulima aliyeshikilia ndege yetu Kule Africa kusini alifukuzwa na Nyerere, akafungua kesi hapahapa nchini na akashinda, iweje jambo hilo hilo amelifanya JPM inaonekana ni dhambi kubwa, lakini akifanya Nyerere sio dhambi?
Huwezi kufananisha Rais Mkabila kupata kutokea Tanzania na Nyerere!
Huko ni kumkosea mwl. heshima!
 
Kwahiyo "Kunya anakunya kuku, lakini akinya Bata ameharisha, sio?".

Kesi Kama hii ilimkuta Nyerere na akapoteza kesi katika mahakama za hapahapa Tanzania.

mjiandae na hili pia


https://indianaresources.com.au/wp-...n-Claim-of-AU127m-lodged-against-Tanzania.pdf


haa washakamata ndege A220 pale Amsterdam!
 
Kwahiyo kuhusu Nyerere kusababisha ATCL kukamatwa Kule Africa ya kusini, umekosa jibu lake?

Majibu yapo humu ila hushughulishi kichwa kama mwendazake!
Serikali ifanye kitu kimoja, kama bado haiwezi kutransfer hizo ndege kwa ATCL basi zile routes korofi zenye vitisho vya kukamata ndege zetu wakodi ndege ndio ziwe zinaende huko, routes kama za SA na Ulaya peleka ndege za kukodi, huku kwingine tufanye biashara na ndege zetu wakati tukiwa bado tunayajenga na hawa wadai wetu. Problem Solved.
walipe madeni ya ATCL si makubwa kama mikesi ya GoT na wamiliki migodi na vitalu waliotimuliwa na mwendazake bila kufuata utaratibu! Jamaa alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwa na maarifa ya international trade and laws hata kidogo!
 
Lengo ni kukuonyesha kwamba, duniani Kuna watu wenye akili kubwa ambao hufanya makosa yenye kufanana, sio rahisi kwa watu wenye akili ndogo kuwaelewa.
Akili kubwa ya kupeleka fedha na kuhamisha wanyama Chato bila kuidhinishwa na Bunge na kutoa list ya wahujumu uchumi isiyokuwa na Msukuma hata mmoja na kuamrisha kuachiwa wale wasukuma waliokamatwa Geita wakitorosha dhahabu! Pia akili kubwa ni kutaka kumega mikoa ya Kigoma na Kagera yenye makabila na desturi tofauti na kupeleka kwenye miliki ya wasukuma wenzie!
 
Akili kubwa ya kupeleka fedha na kuhamisha wanyama Chato bila kuidhinishwa na Bunge na kutoa list ya wahujumu uchumi isiyokuwa na Msukuma hata mmoja na kuamrisha kuachiwa wale wasukuma waliokamatwa Geita wakitorosha dhahabu! Pia akili kubwa ni kutaka kumega mkoa wa Kigoma wenye makabila na desturi tofauti na kupeleka kwa wasukuma wenzie!
Mkuu, watu wenye akili ndogo, hawawezi kuwaelewa watu wenye akili kubwa, sijui unanielewa?.

Kama tutachambua makosa ya Nyerere, Mandela, Fidel Castro, Ge-Gwavara, Robert Mugabe, Kwame Nkuruma, na wengine wenye kufanana, utagundua ni mengi kuliko hayo ya JPM.

Conclusion: Wenye akili ndogo hawawezi kuwaelewa wenye akili kubwa.
 
Mkuu, watu wenye akili ndogo, hawawezi kuwaelewa watu wenye akili kubwa, sijui unanielewa?.

Kama tutachambua makosa ya Nyerere, Mandela, Fidel Castro, Ge-Gwavara, Robert Mugabe, Kwame Nkuruma, na wengine wenye kufanana, utagundua ni mengi kuliko hayo ya JPM.

Conclusion: Wenye akili ndogo hawawezi kuwaelewa wenye akili kubwa.
Hebu leta hayo makosa ya Nyerere na Mandela na mimi nikupe ya Magufuli! Tuone nani ana makosa ya kipumbavu zaidi! Yaani nani Mpumbavu kati ya Nyerere na Mandela upande mmoja na Magufuli upande mwingine! Leo nina muda wa kumuanika Magufuli! 😀 😀 👆 👆
 
Nyerere alisababisha alimfukuza mzungu bila kufuata taratibu, ndege yetu ikakamatwa Kule Africa ya kusini, unasemaje juu ya Hilo?
ndege ilikamatwa kwa vile Magufuli aliamua kununua ndege na kuziweka chini ya TGFA yaani taasisi ya serikali badala ya kulipa madeni madogo ya ATC na kuimilikisha ATC ndege! ikumbukwe ATC ishawahi kufanya safari za SA kabla na ndege zake hazikuwahi kushikwa mpaka pale zilipoanza kwenda huko zikiwa zinamilikiwa TGFA!
 
ndege ilikamatwa kwa vile Magufuli aliamua kununua ndege na kuzimweka chini ya GTA yaani taasisi ya serikali badala ya kulipa madeni madogo ya ATC na kuimilikisha ATC ndege! ikumbukwe ATC ishawahi kufanya safari za SA kabla na ndege zake hazikuwahi kushikwa!
Jibu swali mkuu, kosa la Nyerere ni kumfukuza mzungu bila kufuata taratibu, Hilo ni kosa au sio kosa?
 
mjiandae na hili pia


https://indianaresources.com.au/wp-...n-Claim-of-AU127m-lodged-against-Tanzania.pdf


haa washakamata ndege A220 pale Amsterdam!
Ndege ilifuata nini huko Australia, hizi kqmpuni za matapeli wa bongo hapa hapa. Afrika tunakosa transparency and accountability kwa viongozi matokeo yake wanaiba mfuko wa shati wanaweka mfuko wa suruali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom