Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ngumu kuamini this bus was fabricated in Kenya.View attachment 2587555View attachment 2587556
Alaf finishing yenyewe sasa 😆😆😆👇👇
Screenshot_20230414-191516_(1).png







Tazama finishing ya dar coach sasa 🤣🤣
 
Wakuu kwenye hii battle tuache kutambiana maswala ya GDP maana kuna wengine GDP zinapanda kwa kupewa pesa za bure aka mademu zake na west.

Egypt anapewa $1.4B ya bure, pia kuna vifaa kama silaha za bure. Huenda hata trains za bure 😀
 
Wacha kuwa dwanzi, hamna aliyesema estate roads zote za Nairobi zina lami. Hata hivyo majority zina lami, hata hiyo umeweka hapa ukatafuta current picture ya hio area utapata kuna lami. Tupee jina ya hio street tukuletee current picture
Kileleshwa
Hebu Tazama hapa...

 
Back
Top Bottom