ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,519
- 85,347
Juzi nilikua mtu wa kwanza kumsifia mama kwa hatua zake alizochukua, japo wewe bado ulionyesha kutoridhishwa bado na hatua hizo.Nimesoma comment Yako iliyofutwa na mods.
Kwenye maelezo hapo Juu niliuliza kwamba Kuna sehemu yeyeote CAG ametaja jina la mtu wakiwemo Marais? Jibu ni hapana..
Sasa Iko hivi vile vile mtu anaposifiwa Kwa mazuri na mabaya awajibike nayo pia,kusema kwamba nasifia mazuri ya Sasa ambayo niyalianzishwa awamu ya 6 ni sahihi lakini pia na mabaya yaliyoanzishwa awamu hiyo mbona nyie Wafuasi wake hamyakubali?



Hurligham = HalimbayaEti hurligham hahaha, wajaluo mna mambo
By the way, I hear there are no salaries for March. Hali mbaya. Njaa imepiga hodi. Poverty.
I don't argue with brainless people.Watu wanataka uwajibikaji wewe unaleta hadithi sijui za wapi na kutunga tunga vitu vya dhahania.
Saizi ulitakiwa uwe umeshakuja na mkeka wa waliowajibishwa vinginevyo taarifa ya CAG ni ya kazi gani Sasa si kupoteza pesa tuu?
Rais mwenyewe keshasema wahusika watoe majibu ila wapambe Sasa ni nuksi seems nyie ni wakwamishaji na ni wanufaika wa Ufisadi.
Kwa hiyo na wewe unajiona una brain hapo? 🤣🤣🤣🤣I don't argue with brainless people.
Huyo godwin mollel yeye anajiona mzima ?? Alibanwa maswali siku moja sijui clouds akawa anatoa povu tu 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo na wewe unajiona una brain hapo? 🤣🤣🤣🤣View attachment 2585255
Uyu waziri uwa ni kiazi sana labda yeye ndio mjinga sana na kipara chake icho........Kwa hiyo na wewe unajiona una brain hapo? 🤣🤣🤣🤣View attachment 2585255
Wanalazimisha JPM asionekane ndiye baba wa Tz mpya, mambo aliyoyafanya yanawauma sn kwakuwa aliwabana pumbu zao kisawasawa, so wanaumia wanapoona sifa zote zinaenda kwake. Sasa sisi tunawaambia JPM ni kama maji usipoyaoga utayanywa, usipoyanywa utanawa na ukigoma kabisa utalazwa utatundikiwa drip la maji.Kuna muda Usipoteze Mudawako Kuwajibu Wajinga na wapuuzi
Waache waandike We Pita wima
Wala Usipoteze hata muda kusoma Upumbavu wao
Mambo yote mazuri na ya kipekee yalianzishwa awamu ya tano, awamu ya sita hakuna jambo la kipekee limeanzishwa zaidi ya kujenga soko pale kariakoo na kuongeza msongamano zaidi, mengine ni ya kawaida hata Kikwete ana nafuu mana jambo la kipekee la Kikwete ni BRT.Nimesoma comment Yako iliyofutwa na mods.
Kwenye maelezo hapo Juu niliuliza kwamba Kuna sehemu yeyeote CAG ametaja jina la mtu wakiwemo Marais? Jibu ni hapana..
Sasa Iko hivi vile vile mtu anaposifiwa Kwa mazuri na mabaya awajibike nayo pia,kusema kwamba nasifia mazuri ya Sasa ambayo niyalianzishwa awamu ya 6 ni sahihi lakini pia na mabaya yaliyoanzishwa awamu hiyo mbona nyie Wafuasi wake hamyakubali?
Bado wahusika wakuu,wale wametolewa kafara tuu na kiukweli Bado sijaridhishwa japo walau baada ya pressure Kuna hatua zimeanza kuchukuliwa..Juzi nilikua mtu wa kwanza kumsifia mama kwa hatua zake alizochukua, japo wewe bado ulionyesha kutoridhishwa bado na hatua hizo.
Nilimsifia mama kwasababu amefanya kazi nzuri, sio kwasababu ninampenda au kumchukia. Sikumbuki Kama ulishawahi kumsifia Magufuli kwa lolote lile, labda unikumbushe Kama nimesahau.
Mambo ya kipekee kwako ni nini hasa? Kwanza ilitakiwa awamu yenu ya miaka 5 muwe mumemaliza ndio mje kujigamba Sasa hakuna hata kitu kimoja mlikamilosha Cha maana zaidi ya mastendi na masoko mfu kama la Job Ndugai.Mambo yote mazuri na ya kipekee yalianzishwa awamu ya tano, awamu ya sita hakuna jambo la kipekee limeanzishwa zaidi ya kujenga soko pale kariakoo na kuongeza msongamano zaidi, mengine ni ya kawaida hata Kikwete ana nafuu mana jambo la kipekee la Kikwete ni BRT.
Hakuna sehemu nmeandika baba wa taifa mkuu.Hapo Kwenye baba wa taifa nakupinga, ila kama ni mtazamo wako, uko sawa.