Unasema kadogosa aondoke na je mbarawa anafanya nn ofsini?? Huyo makamba anafanya nn ofsini, avunje baraza lote la mawaziri na awawajibishe kwa hasara na ateue mawaziri wako serious na nchi hii ww unaenda kumtoa jafo tamisemi unategemea nn ??
suala la ATCL kufeli kuna factors nyingi! Kuna ndege zimekamatwa Amsterdam kwa sababu Magufuli alivunja kimabavu mkataba wa kampuni ya Sweden ya biofuel Bagamoyo, jamaa wanataka fidia!
We boya Nairobi si dar, karibia kila estate na suburbs zina lami si vumbi kama huko kwenu. Lami kwenye estates zilianza kuwekwa kitambo na bado zinaendelea kuwekwa
Hamna Cha kupongeza hapo,yaani Bado sijaona kabisa kiasi kwamba nirudhike..
Binafsi nilikuwa shabiki wa mama Toka day one ila baada ya ripoti hii niloandika kwenye jukwaa kwamba kama hatua hazitochukuliwa kama ripoti zilizopita naacha kujisumbua kwenye mitandao kuwa shabiki wake.
Bado sijaridhika,Kadogosa aondoke,Makinda na management yake wasepe na pia nione watu wakifikishwa Kizimbani.
JK aliwahi kumfunga Mramba na Yona ,tokea hapo hakuna uwajibikaji tena.
Mkuu, ninakupata nini unachotaka, lakini uongozi lazima uwe na utulivu wa hekima kidogo, ukienda kwa Kasi Sana Kuna uwezekano mkubwa wa kufanya makosa na kusababisha kuwaumiza watu au hata kushitakiwa mahakamani na kusabisha serikali kulipa pesa nyingi/ndege kukamatwa.
Mkuu, sote tunataka hatua Kali zaidi ya hizi zichukuliwe, tunatofautiana katika namna ya kufikia huko, wapo wenye kutaka hayo mambo yatendeke ndani ya saa 24, lakini wapo wanaotaka hatua zichukuliwe baada ya watu kusikilizwa.
suala la ATCL kufeli kuna factors nyingi! Kuna ndege zimekamatwa Amsterdam kwa sababu Magufuli alivunja kimabavu mkataba wa kampuni ya Sweden ya biofuel Bagamoyo, jamaa wanataka fidia!
Achana na mambo ya Magufuli, yeye alinunua ndege, je na kuhakikisha ratiba za ndege zinaenda kama zilivyo aje Magufuli kupanga? Je, suala la wafanyakazi wa ndege wafike kwa muda husika aje Magufuli kuhakikisha hilo linatimizwa? Kuna siku ndege ya Zanzibar -Kilimanjaro ilichelewa kisa Air Marshal hajafika, kupigiwa simu ndiyo kwanza yupo home anajiandaa, ilibidi ndege ichelewe iondoke saa sita usiku badala ya saa nne, captain anaambiwa aondoe ndege Kagoma, mwishowe ilibidi aondoe hvyo hvyo bila AM.
Suala la ndege kuchelewa wala sio sababu ndege zimekamatwa, kwani ndege zilizokuwepo zinatosha kabisa kuendana na muda, mbn precision wana ndege 4 tu na atleast wako on time kuliko atcl? Pale atcl watu wanajipangia tu muda wa kufika kazini, utakuta ndege ya Mumbai abiria washa board lkn cabin crew hawajafika ndege inachelewa kisa crew wapo njiani, je hilo nalo aje Magufuli kulisahihisha?
Wakati mwingine ni vichekesho tupu, unakuta ndege ya kwenda mbeya 106 iko terminal 3 alafu ndege ya kwenda Nairobi ipo terminal 2 bila sababu za msingi, hii inapelekea delay sometimes mana abiria watolewe kwa basi kutoka terminal 2 kupelekwa terminal 3 kampuni inalipa pesa na unakuta wakisha board unaambiwa GD imekosewa, so GD itoke terminal 2 ipelekwe terminal 3 wakati hakukuwa na sababu za msingi abiria wa terminal 2 wapelekwe terminal 3. Hayo yote mlitaka aje Magufuli kuwafanyia?
Hata kama alivunja mkataba na hakutaka kuwalipa wanaoidai serikali je hawa waliopo kwanini wasilipe ili kuondokana na adha ya kukamatwa kwa ndege kila siku?
Mwisho, kwnn mnapenda kujificha kwenye kivuli cha Magufuli pale mnapoonekana kufeli kiuendeshaji? Je miaka miwili haikuwatosha kurekebisha makosa ya Magufuli? Mbn Magufuli alitumia miaka mitano tu kurekebisha kila kitu na kujenga miundombinu muhimu yote mnayoringia leo hii tena bila kisingizio cha madudu ya Kikwete huko nyuma, nyinyi mnashindwa nn kurekebisha makosa ya mtangulizi wenu mpaka mmebaki kulaumu tu pale mnapoonekana kufeli vby kiuongozi?
We boya Nairobi si dar, karibia kila estate na suburbs zina lami si vumbi kama huko kwenu. Lami kwenye estates zilianza kuwekwa kitambo na bado zinaendelea kuwekwa
Mwisho wake wizi na ujambazi utaongezeka maradufu, Kenya sio nchi kabisa ni choo kabisa, wananchi wanalia kila siku njaa isiyokwisha tangu independence.
mbaya sana kufake life, serikali yao imekua haiishi uhalisia na haiwaambii wananchi ukweli kwamba wao bado ni mafukara wa kuhurumiwa yaani ni mara 100 mtu akuambie ukweli kuliko reality ikuoneshe ukweli alooh! utatubu 😅😅😅
tofauti ya mtanzania wa kawaida na mkenya wa kawaida ni self-reliance (ujamaa na kujitegemea) katika mambo Nyerere alitufaa Watanzania ni kutujengea kujitegemea
mtanzania akishalima mazao yake lazima unakuta ana mazao ya biashara na chakula, mtanzania atalima pamba au tumbaku, katani, kahawa, korosho, chai etc lakini lazima ana shamba lingine sababu ya mpunga, maharage, mahindi, alizeti, ndizi, mihogo etc
Hii ndio inafanya huoni Watanzania wakiandamana unga ushuke bei au gharama ya vyakula ishuke bei kama wakunya wanaosema wapo kwenye service economy kulima sio level zao, matokeo yake serikali inachukua mapato yote kiduchu inayopata kwenda kununua chakula nje ya nchi kitu ambacho endapo Wakunya wangejitosheleza kwa chakula hiyo pesa serikali ingeipeleka kwenye matumizi mengine ya kimaendeleo
President Samia sacks flight agency boss, dissolves TRC board
Monday, April 10, 2023
By Paul Owere
Web Editor
Mwananchi Communications Ltd
Summary
The decision to enter into a non-competitive tender to purchase locomotives and couches as a result cost the tax payer an additional $215 million (Sh507.4 billion).
Dar es Salaam. Tanzania Railways Corporation (TRC) and Tanzania Government Flight Agency (TGFA) on Sunday, April 9, became the first casualties of the CAG report, after President Samia dissolved the TRC Board and sacked the flight agency's Director General John Nzulule.
This comes after the 2021/22 the Controller and Auditor General (CAG), revealed massive discrepancies in the purchase of a cargo plane that would later be leased to ATCL and the purchase of locomotives and couches for the TRC.
The report says that the contracts that were entered in construction of the Standard Railway Gauge (SGR) were not national interest.
According to the CAG the Tanzania Railway Corporation (TRC) twice rejected the tender to purchase the locomotives and passenger coaches from the lowest bidder at an offer of $263.4 million and instead made a non-competitive purchase of $478 million.
The decision to enter into a non-competitive purchase as a result cost the tax payer an additional $215 million (Sh507.4 billion).
Also, in the contract to purchase the locomotive and passenger coaches, TRC implemented the process without a performance guarantee, a situation that led to a loss of Euro 5.3 million (Sh13.7 billion).
On the other hand, the report said the last installment for the manufacture of a cargo plane that was ordered by the government flights agency was $37 million; however, $86 million invoice was submitted for payment to the government.
In a statement that was issued on Sunday evening the Presidency said apart from the TRC board and TGFA director, it directed the chief secretary to make sure that permanent secretaries and Director Generals of government entities read the CAG report and implement issues raised in their areas.
The president also ordered the permanent secretaries to make sure that all those implicated in the report should face legal actions as required by the law.
Tanzania Railways Corporation (TRC) and Tanzania Government Flight Agency (TGFA) on Sunday, April 9, became the first casualties of the CAG report, after President Samia dissolved the TRC Board...
www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Kwa wale wanaosifia taratibu za manunuzi kuvunjwa! Naomba mama amuondoe Masanja Kadogosa pia!
We want to see her dissolve the entire board of Tanesco and remove all the thugs and incompetent ministers like Nape, Makamba, Mbarawa, Ummy. All those thugs were held accountable by Magufuli but she brought them back again.
Tushukuru Mungu hii nchi ni tajiri sana, kama hii nchi ingekuwa fukara kama nchi zingine za EA mfano Burundi au Kenya wallahi kilio kingekuwa kikubwa kuliko cha Wakenya. Kuna ombwe kubwa la kiungozi kwa ss lkn mambo yanakwenda.
Ila kama uongozi uliopo ungekuwa Kenya basi 3/4 ya Wakenya wangekuwa wameshakufa mpaka kufikia sasa.
KCB, EQUITY, UAP, BRITAM, WORLD BANK, CITIBANK, AFDB, NCBA, IRA, IFC. Head office zao ziko Upperhill. Usiwe pumbavu, kama hujui maana ya financial district sema ufunzwe.
Achana na mambo ya Magufuli, yeye alinunua ndege, je na kuhakikisha ratiba za ndege zinaenda kama zilivyo aje Magufuli kupanga? Je, suala la wafanyakazi wa ndege wafike kwa muda husika aje Magufuli kuhakikisha hilo linatimizwa? Kuna siku ndege ya Zanzibar -Kilimanjaro ilichelewa kisa Air Marshal hajafika, kupigiwa simu ndiyo kwanza yupo home anajiandaa, ilibidi ndege ichelewe iondoke saa sita usiku badala ya saa nne, captain anaambiwa aondoe ndege Kagoma, mwishowe ilibidi aondoe hvyo hvyo bila AM.
Suala la ndege kuchelewa wala sio sababu ndege zimekamatwa, kwani ndege zilizokuwepo zinatosha kabisa kuendana na muda, mbn precision wana ndege 4 tu na atleast wako on time kuliko atcl? Pale atcl watu wanajipangia tu muda wa kufika kazini, utakuta ndege ya Mumbai abiria washa board lkn cabin crew hawajafika ndege inachelewa kisa crew wapo njiani, je hilo nalo aje Magufuli kulisahihisha?
Wakati mwingine ni vichekesho tupu, unakuta ndege ya kwenda mbeya 106 iko terminal 3 alafu ndege ya kwenda Nairobi ipo terminal 2 bila sababu za msingi, hii inapelekea delay sometimes mana abiria watolewe kwa basi kutoka terminal 2 kupelekwa terminal 3 kampuni inalipa pesa na unakuta wakisha board unaambiwa GD imekosewa, so GD itoke terminal 2 ipelekwe terminal 3 wakati hakukuwa na sababu za msingi abiria wa terminal 2 wapelekwe terminal 3. Hayo yote mlitaka aje Magufuli kuwafanyia?
Hata kama alivunja mkataba na hakutaka kuwalipa wanaoidai serikali je hawa waliopo kwanini wasilipe ili kuondokana na adha ya kukamatwa kwa ndege kila siku?
Mwisho, kwnn mnapenda kujificha kwenye kivuli cha Magufuli pale mnapoonekana kufeli kiuendeshaji? Je miaka miwili haikuwatosha kurekebisha makosa ya Magufuli? Mbn Magufuli alitumia miaka mitano tu kurekebisha kila kitu na kujenga miundombinu muhimu yote mnayoringia leo hii tena bila kisingizio cha madudu ya Kikwete huko nyuma, nyinyi mnashindwa nn kurekebisha makosa ya mtangulizi wenu mpaka mmebaki kulaumu tu pale mnapoonekana kufeli vby kiuongozi?
Achana na mambo ya Magufuli, yeye alinunua ndege, je na kuhakikisha ratiba za ndege zinaenda kama zilivyo aje Magufuli kupanga? Je, suala la wafanyakazi wa ndege wafike kwa muda husika aje Magufuli kuhakikisha hilo linatimizwa? Kuna siku ndege ya Zanzibar -Kilimanjaro ilichelewa kisa Air Marshal hajafika, kupigiwa simu ndiyo kwanza yupo home anajiandaa, ilibidi ndege ichelewe iondoke saa sita usiku badala ya saa nne, captain anaambiwa aondoe ndege Kagoma, mwishowe ilibidi aondoe hvyo hvyo bila AM.
Suala la ndege kuchelewa wala sio sababu ndege zimekamatwa, kwani ndege zilizokuwepo zinatosha kabisa kuendana na muda, mbn precision wana ndege 4 tu na atleast wako on time kuliko atcl? Pale atcl watu wanajipangia tu muda wa kufika kazini, utakuta ndege ya Mumbai abiria washa board lkn cabin crew hawajafika ndege inachelewa kisa crew wapo njiani, je hilo nalo aje Magufuli kulisahihisha?
Wakati mwingine ni vichekesho tupu, unakuta ndege ya kwenda mbeya 106 iko terminal 3 alafu ndege ya kwenda Nairobi ipo terminal 2 bila sababu za msingi, hii inapelekea delay sometimes mana abiria watolewe kwa basi kutoka terminal 2 kupelekwa terminal 3 kampuni inalipa pesa na unakuta wakisha board unaambiwa GD imekosewa, so GD itoke terminal 2 ipelekwe terminal 3 wakati hakukuwa na sababu za msingi abiria wa terminal 2 wapelekwe terminal 3. Hayo yote mlitaka aje Magufuli kuwafanyia?
Hata kama alivunja mkataba na hakutaka kuwalipa wanaoidai serikali je hawa waliopo kwanini wasilipe ili kuondokana na adha ya kukamatwa kwa ndege kila siku?
Mwisho, kwnn mnapenda kujificha kwenye kivuli cha Magufuli pale mnapoonekana kufeli kiuendeshaji? Je miaka miwili haikuwatosha kurekebisha makosa ya Magufuli? Mbn Magufuli alitumia miaka mitano tu kurekebisha kila kitu na kujenga miundombinu muhimu yote mnayoringia leo hii tena bila kisingizio cha madudu ya Kikwete huko nyuma, nyinyi mnashindwa nn kurekebisha makosa ya mtangulizi wenu mpaka mmebaki kulaumu tu pale mnapoonekana kufeli vby kiuongozi?
Why SGR tender is bone of contention for state entities
Friday, September 24, 2021
SGR plans initiated under Mkapa govt, reveals JMK
By The Citizen Reporter
Media/news company
Mwananchi Communication Limmited
Dar es Salaam. The multi-billion-dollar tender for lots 3 and 4 of Tanzania’s standard gauge railway (SGR) project has turned out to be a serious bone of contention for two key government entities.
While Tanzania Railways Corporation (TRC) wants Turkish firm Yapi Markezi to be picked for the job through single-source procurement, the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) is of the view that the contractor should be identified through competitive tendering if Tanzanians are to get value for their money.
The third and fourth lots of the SGR project involve designing and building a 533-kilometre rail line from Makutopora to Tabora, and Tabora to Isaka, respectively.
Reached for comment yesterday, PPRA acting director general Mary Swai said she was not ready to discuss the matter in the media.
“I’m not the government’s spokesperson...I’m not ready to discuss government issues in the media,” she told The Citizen.
According to documents independently obtained by The Citizen, TRC and PPRA have engaged in official communication on a number of occasions, with the former pressing for single-source procurement.
In its letter dated July 23, 2021, TRC explains what it sees as benefits of awarding the tender to Yapi Markezi.
But in its response – which was dated July 27, 2021 – PPRA states why competitive tendering should be given priority.
“The Authority would like to advise that, as per Section 64 (1) of the PPA, 2011 and Regulation 149 (1) of PPR 2013, competitive tendering should be given priority in the procurement of goods, works or services. On this footing and as per detailed advice provided in the matrix attached to this letter, the Authority advises TRC to consider using competitive tendering in obtaining the contractors for lots 3 and 4,” PPRA says in its letter.
The authority adds that a competitive tendering process will ensure that the government gets value for money in the project.
According to PPRA, it was through competitive tendering that the government was able to save $1.03 billion (about Sh2.37 trillion at current exchange rates) when it floated the tender for Lot 5 of the SGR.
The tender to build the SGR from Mwanza to Isaka was awarded to a joint venture of M/s China Civil Engineering Construction Corporation and China Railways Construction Corporation (CCECC-CRCC), which quoted $1.326 billion (inclusive of VAT), while Yapi Merkezi cited $2.356 billion (about Sh5.4 trillion).
“It was a huge difference of $1,030,068,831.21 and therefore, the Government could not have saved this amount if it could have opted for a single source method of procurement,” PPRA says in its letter.
In gunning for Yapi Merkezi, TRC director general Masanja Kadogosa, who is also the State-owned firm’s chief accounting officer, says in a letter that although the TRC tender board had advised that the contractor for Lots 3 and 4 be picked through competitive bidding, he had to seek a review because awarding the tender to Yapi Merkezi would have several benefits.
The Turkish firm, the letter says, was in a position to execute the job well because it was already undertaking similar work in the country, and that it had mobilised a plant, equipment and staff in Tanzania.
The letter adds that although M/s CCECC-CRCC also had a plant, equipment and staff in the country, Yapi Merkezi had already built 91.74 percent of Lot 1 of the SGR (from Dar es Salaam to Morogoro) as of June 2021, while the section being built by M/s CCECC-CRCC was only ten percent complete.
According to the communication, while it was true that contractors for Lots 1, 2 and 5 were picked through competitive tendering, Yapi Merkezi was better placed to swiftly move its plant, equipment and staff from Lot 1 to Lots 3 and 4, and thus complete the work for operations to start.
But according to PPRA, value for money should supersede the need to swiftly complete the work, noting that it was TRC’s task to ensure that gives the contractor appropriate time to mobilise plants, equipment and staff.
“On the issue of mobilisation time, which the Accounting (officer) had been insisting that M/s Yapi Merkezi will have short period of mobilization, the Authority advises that TRC should clearly provide in the tender document, the appropriate time required for mobilisation so that bidders who will participate in the competitive tendering can be assessed on that criterion as well,” PPRA says in its letter.
The multi-billion-dollar tender for lots 3 and 4 of Tanzania’s standard gauge railway (SGR) project has turned out to be a serious bone of contention for two key government entities.
MY TAKE
Wakati Sukumagangs humu ndani wanajaribu kutuaminisha madudu ya SGR na ndege ni matokeo ya serikali ya Samia manunuzi haya yamefanyika chini ya Mungu wao JPM! BTW kuna clip kadogosa anaonekana akitetea manunuzi bila kufuata sheria za manunuzi kwa kisingizio cha kupoteza muda yaani taratibu zinachelewesha ujenzi! Kwa ukweli mwendazake ametuachia sumu mbaya ya ukabila!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.