Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
reaction za wabongo kwa vile tukiona kenya inaporomoka The best 007 🤣🤣👇Kuna dafu linaporomoka toka juu ya mnazi.
View attachment 2586386
reaction za wabongo kwa vile tukiona kenya inaporomoka The best 007 🤣🤣👇Kuna dafu linaporomoka toka juu ya mnazi.
View attachment 2586386
Wewe ndio una mbumba?Wewe hapo mfukoni huna hata shillingi 500 yakununua mihogo usife njaa hapo Dar lakini bado unakaza shingo.
Jambo muhimu ndugu yangu magonjwa mtambuka ni kukubali kumeza dawa ili tupone.
Tanzania bado ni nchi masikini na watu wetu wengi maisha ni tia maji tia maji.
Nadhani unanielewa maana kama nilivyosema hapo juu huna 500 saa hii ununue mihogo usife njaa.
The University of Nairobi. My Alma Mater
Hawa majamaa wa Western kumbe walikua wamekalia talanta tu hivi. Tulidhani Kenya ni long distance races too. Soon tutadominate hadi sprints.Conquering Africa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
![]()
www.centralbank.go.ke
Unajua nimekuuliza nini?Kawaida tu.
Haya unaswali lingine?
Tatizo Wanasiasa hawataguswa
Duh hapa ndipo ulipoharibu kabisa, eti vijana wa Tanzania wanalala njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitafurahia vipi wakati mamilioni ya Watanzania hapo Dar wanaishi kwenye ufukara? Hebu uliza jirani yako kama amekula leo? Watu wengi hapo Dar wanalala njaa. Mbaya zaidi ni vijana. Ukweli huu hausemwi ila Tanzania umasikini ni mkubwa na ndugu zetu wanateseka. Hili si jambo la kufurahia.
Wewe kwa akili yako yakuvukia barabara unadhani Dar es Salaam ipo na miundombinu ya maana?
Ni mwendelezo wa ujinga ujinga tu.
Tanzania sisi ni vilaza sana.
Siku zote tunakaza shingo wakati tunapigwa mijeledi mikali ya umasikini na ukosefu wa miundombinu bora.
Ningekuwa karibu ningekamata bakora nikuchape hayo matako yako kwasababu hutaki kujifunza unachofahamu ni kurusha mdomo.
Key words "hapo Dar" zen unasema unaishi Dar, kakojoe ukalale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe hapo mfukoni huna hata shillingi 500 yakununua mihogo usife njaa hapo Dar lakini bado unakaza shingo.
Jambo muhimu ndugu yangu magonjwa mtambuka ni kukubali kumeza dawa ili tupone.
Tanzania bado ni nchi masikini na watu wetu wengi maisha ni tia maji tia maji.
Nadhani unanielewa maana kama nilivyosema hapo juu huna 500 saa hii ununue mihogo usife njaa.
Hapa tena umethibitisha ukenya wako, wazee wa GDP, nmekuambia unitajie miundombinu wewe kwa ukenya wako ukaona utaje GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikutajie kitu gani wewe kijana wa Dar?
Nakupatia data ndogo tu.
GDP ya Kenya ni USD 117 billion vs GDP ya Tanzania USD 71 billion.
Amka kijana ingia mtaani usake kazi upate pesa tusonge mbele mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.
Nairobi wametupita pakubwa.
Alafu eti ni mtanzania huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo uhalisia wa maisha ya watu wengi hapo Dar.
Au nikupatie data?
Soma hapa
Tanzania bado watu wengi sana hawana pesa. Kwa siku matumizi hayazidi $1.9.
Tanzania imekwama. Watu mifuko imetoboka wanalala njaa.
Kumbe umemnasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MK254 hii ni id yako ya ngapi?
Hii ngoma ingekaa pale posta karibu na Mzizima ingekuwa noma sana.Chuga watagwan [emoji116]View attachment 2586592
Tz kuna umasikini mkubwa mijini hasahasa miongoni mwa vijana.Duh hapa ndipo ulipoharibu kabisa, eti vijana wa Tanzania wanalala njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza hizo emoji nyingi kwasababu gani?Hapa tena umethibitisha ukenya wako, wazee wa GDP, nmekuambia unitajie miundombinu wewe kwa ukenya wako ukaona utaje GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha porojo.Alafu eti ni mtanzania huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah no gorofa moja kali mno, lakini ilipo pia sio mbaya coz inatengeneza taswira nzuri ya Arusha mji wetu nambari tatu kwa maendeleoHii ngoma ingekaa pale posta karibu na Mzizima ingekuwa noma sana.
Hii project iliwatenga kabisa walemavu,yaani mlemavu ashuke na bicycle kutoka kwenye hizo ngazi,suataongeza ulemavu tena[emoji41][emoji41]Naona kichaka kimeota. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2585859