Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,099
- 32,921
Wewe ni kilaza wa kupindukia.Wakenya si wajinga. Wanadai haki zao na serikali italazimika kuwalipa....
Wewe ni kilaza wa kupindukia.Wakenya si wajinga. Wanadai haki zao na serikali italazimika kuwalipa....
Ninauhakika wewe kijana wa hovyo hujala toka asubuhi hadi saa hii.Wewe nyang’au ni kilaza wa kupindukia.
Siku ukizinduka ndio siku utajitambua kuwa wewe ni kilaza tu.Ninauhakika wewe kijana wa hovyo hujala toka asubuhi hadi saa hii...
Tanzania bado ni masikini kupindukia.Yani nikiona mtu anaandamana ili apewe ugali na Ruto ni kipimo cha mwisho kabisa cha ujinga na uzembe.
Hiyo ni primitive society.
At least hatuandamani ili tupate ugali.Tanzania bado ni masikini kupindukia.
Ukitazama kipimo cha International Extreme Poverty level, Tanzania is one of the world's poorest economies.
Hii ni katika Per capita income.
Lazima wanaume wa Dar mpigike kazi na si kuvuta midomo kama mnataka kujinasua toka kwenye umasikini.
Wewe umegoma kufanya kazi halafu unalia njaa.Siku ukizinduka ndio siku utajitambua kuwa wewe ni kilaza tu.
Hauna uwezo wa kuandamana kwasababu wewe na wanaume wenzako hapo mtaani ni bongolalaz.At least hatuandamani ili tupate ugali.
Kenya is a primitive country.
17.1 angalia rates za BOT vzr 🤣🤣🤣 from 23 next week usishangae kuskia 16Kutoka 22 mpk 17, tulikuwa tunawaambia humu thamani ya pesa yao si ya kweli kulingana na uchumi wao wakawa wanabisha, sasa itaporomoka mpaka kufikia 1ths = 2ksh few years to come, ona hadi rahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2586390
Hakuna mtu analala njaa Tanzania. Usiifananishe Tanzania na mambo ya kijinga. Tulishatoka huko since 1980Hauna uwezo wa kuandamana kwasababu wewe na wanaume wenzako hapo mtaani ni bongolalaz.
Utafanya nini sasa?
Ni kulala njaa tu.
Acha uwongo.Hakuna mtu analala njaa Tanzania. Usiifananishe Tanzania na mambo ya kijinga. Tulishatoka huko since 1980
Una mdomo mchafuWakenya si wajinga. Wanadai haki zao na serikali italazimika kuwalipa.
Haya turudi hapa bongolala.
Sisi ni mfano wa ng'ombe aliyekonda tunakamuliwa maziwa hatuna nguvu hata yakurusha teke.
Tuache kuvuta mdomo Tanzania ni nchi masikini sana.
Fahamu hilo wewe kijana wa hivyo wa Dar es Salaam
Na hili shirika ni kama wanatafuta kila njia ya kulifilisi baada ya kuona linakuja vzr sana ndio unaanza kuskia haya na mm nawaswas hawa majirani wako nyuma ya haya matukio chunguzeni kwa umakini kwakua Air tanzania imekua tishio kubwa sana kwaoBeberu analalamika kwann tumekataa yeye kutuexploit?kwahyo ni haki yao kutuexpoilt katika ardhi yetu na wananafasi ya kulalamika tulikaataa na kuzuia Mali zetu.. Justice za kipuuzi hizi sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Bro achaneni nae huyo anatupotezea mudaAt least hatuandamani ili tupate ugali.
Kenya is a primitive country.
Acha ujinga wewe tutusa.
Kazi tuliyonayo ni kubwa ,lakini ukiangalia kwa makini kuna baadhi ya sheria za kimataifa ni za kukandamiza sanaNa hili shirika ni kama wanatafuta kila njia ya kulifilisi baada ya kuona linakuja vzr sana ndio unaanza kuskia haya na mm nawaswas hawa majirani wako nyuma ya haya matukio chunguzeni kwa umakini kwakua Air tanzania imekua tishio kubwa sana kwao
Wewe ndio mjinga usiejua hata uandike nini,kila kinachokujia unatype unasukuma humu...hopeless kabisaAcha ujinga wewe tutusa.
Hapo Dar watu wengi hawana pesa yakununua chakula wanalala njaa, hasa vijana.
Ongea na majirani zako wanashinda njaa tu kama wewe.
Kubali ukweli Tz bado tupo kwenye janga la umasikini mkubwa.Wewe ndio mjinga usiejua hata uandike nini,kila kinachokujia unatype unasukuma humu...hopeless kabisa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app