President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hayo maneno matupu hayavunji mfupa.
Bro achana nae huyo anatupotezea muda kujadili mambo ya msingiWewe ndio mjinga usiejua hata uandike nini,kila kinachokujia unatype unasukuma humu...hopeless kabisa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Lini uliniona ninalia njaa? Ndio maana nasema wewe ni kilaza tu.Wewe umegoma kufanya kazi halafu unalia njaa.....
Kila siku huishi kuomba washkaji pesa ya kula. Unabisha?Lini uliniona ninalia njaa? Ndio maana nasema wewe ni kilaza tu.
MK254 hii ni id yako ya ngapi?Wakenya si wajinga. Wanadai haki zao na serikali italazimika kuwalipa.
Haya turudi hapa bongolala.
Sisi ni mfano wa ng'ombe aliyekonda tunakamuliwa maziwa hatuna nguvu hata yakurusha teke.
Tuache kuvuta mdomo Tanzania ni nchi masikini sana.
Fahamu hilo wewe kijana wa hivyo wa Dar es Salaam
Wewe kubwa jinga unasema nini?MK254 hii ni id yako ya ngapi?
Kwanini sasa una IDs nyingi hivi? tushike ipi?Wewe kubwa jinga unasema nini?
Nakukumbusha tu, Tanzania ni moja ya nchi masikini sana.
Hapo mtaani kwako vijana wanategemea betting ili wapate pesa yakununua energy drink na mihogo ili njaa isiwauwe.
Wewe umekula mchana au unapiga pasi ndefu?
Unatusimulia maisha yako?Wewe kubwa jinga unasema nini?
Nakukumbusha tu, Tanzania ni moja ya nchi masikini sana.
Hapo mtaani kwako vijana wanategemea betting ili wapate pesa yakununua energy drink na mihogo ili njaa isiwauwe.
Wewe umekula mchana au unapiga pasi ndefu?



Wewe kilaza hujui uongealo. Ni mtu wa kukupotezea tu.Kila siku huishi kuomba washkaji pesa ya kula. Unabisha?
Mbaya zaidi washkaji zako wanategemea betting wapate pesa ya kula.
Wewe ni kijana wa hovyo sana.
Upo tayari kuvuta mdomo hapa JF halafu hapo ghetto kwako hauna unga wa mahindi wala dagaa.
Utakula wapi leo jioni?
Subiri kufa njaa tu.
Wewe ni hamnazo.Bro achana nae huyo anatupotezea muda kujadili mambo ya msingi
Nimekukamata shati hutoroki.Wewe kilaza hujui uongealo. Ni mtu wa kukupotezea tu.
Data hazidanganyi.
Dada unataka kujifunza nini?Kwanini sasa una IDs nyingi hivi? tushike ipi?