ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Hatutaki Wakenya huku, ndoto zenu ni kuja Tz mbn sisi Watz hatuna mpango na kwenu.hahahhaaaaa kawaida tu me ni mkenya ila naona nimejiona mjinga so soon naatoroka kenya nakuja TZ maana kenya nakula mlo mmoja ata siku mingine sikuli ase uku tabu sanaaa now nipo Namanga nasubiri mhuri niingie TZ. I'am tired as kenyani
Sasa hawa Wakenya wanapata wapi nguvu ya kujilinganisha na Tz? Mbn sioni mantiki kabisa.Ukweli unaanza kujulikana.. na bado
Mkuu, mjadala wa aina hii uwa unachosha sana. Sidhani Kama unatenda haki kuchangia jambo ambalo huna uhakika nalo, hili ni tatizo kubwa Sana kwa sisi watu wa Dunia ya tatu(third world), ulipaswa kuuliza swali, "Kwanini bunge lilikataa kushirikiana na CAG?, Ili ujue sababu ndio uendelee kuchangia.Swali hapa la kujiuliza ni hili, kwanini Bunge linakataa kufanya kazi na CAG wakati tu CAG katoa report yake inayoonesha kuna upotevu wa matrilioni Serikalini? Je ni kazi ya Bunge kuitetea Serikali au kuiwajibisha kwa kufuata maelekezo ya CAG?
Naomba mnihurumie sana nateseka sanaHatutaki Wakenya huku, ndoto zenu ni kuja Tz mbn sisi Watz hatuna mpango na kwenu.
Kamwe sijazungumzia amri ya mahakama, Wala sijasema kwamba kuondolewa kwa CAG kulifuata Sheria.Mzee wewe noma mpaka ufafanuzi wa kisheria unaubishia! Kuna vitu ukiwa na uelewa timamu na unasimamia maslahi mapana ya nchi huwezi kuvifumbia macho! Pita kulee... Na Mkabila wako!
Mkuu, upo sahihi kabisa, bunge lilikataa kufanya kazi na Assad(CAG) Kama mtu sio ofisi, Sheria inataka bunge kufanyakazi na ofisi sio mtu binafsi, kazi ya Assad Kama CAG ilikua kuiongoza offisi yake kufanya kazi na bunge, Sasa Kama kiongozi umekataliwa na watu unaopaswa kufanya kazi nao, unabaki kufanya nini?.Unataka CAG awe anaripoti kile ambacho Wabunge wanapenda? Hakuna mtu mtoto hapa kwamba eti Bunge likikataa jambo ambalo liko kisheria Hilo linawezekanaje?
Na nakumbuka Hilo lilikuja baada ya Assad kusema Bunge ni Dhaifu kuweza Kuiwajibisha Serikali na pia kuripoti upigaji wa 1.5T plus Mabilioni aliyoiba Ndugai in the name of Matibabu India..
Ndio zengwe likatunga ambalo kiufupi ni loophole nzuri ya kumuondo Assad na sio vinginevyo..
Bunge lilisema halitafanya kazi na Prof .Assad na sio Ofisi ya CAG Kwa sababu kufanya kazi na CAG kama Ofisi ni takwa la kisheria..
Kuna haja ya kuendelea kutunza Vyura Kwa mabilioni huko Marekani?
Hivi kwanini sioni mambo muhimu yanayotatua shida za wakenya ambao wengi wamekata tamaa, badaya yake ni mambo ya sifa sifa za hovyo?Proud of my fellow citizens, always putting Africa on the map.![]()
Kwani CAG ni mtu au taasisi?Mkuu, mjadala wa aina hii uwa unachosha sana. Sidhani Kama unatenda haki kuchangia jambo ambalo huna uhakika nalo, hili ni tatizo kubwa Sana kwa sisi watu wa Dunia ya tatu(third world), ulipaswa kuuliza swali, "Kwanini bunge lilikataa kushirikiana na CAG?, Ili ujue sababu ndio uendelee kuchangia.
Bunge lilikataa kushirikiana na CAG kutokana na CAG kusema kwamba bunge ni "dhahifu" katika mahojiano yake na BBC alipokua ziarani Uingereza, Spika Ndugai alichukulia kauli hiyo Kama ni dharau kwa bunge, akamuita CAG kwenda kujieleza mbele ya kamati ya nidhamu na maadili ya bunge, kamati ilikubaliana na Spika na kumtia hatiani CAG kwa kulidharau na kulidhalilisha bunge, wakamtaka CAG kufuta kauli yake na kuliomba msamaha bunge, CAG alishikilia msimamo wake na kukataa kuomba msamaha, ndipo bunge likachukua uamuzi wa kumuandikia barua rais kumjulisha kusitisha kufanya kazi na CAG.
Sasa endelea na mchango wako....
Soviet era designNairobi hua na very unique buildings, very diverse architecture.
![]()
Unataka mambo muhimu kama hii. 🤣 🤣 🤣 Endeleeni tu kufuga vyura while more than 2 million households in Tanzanian hawana stima.Hivi kwanini sioni mambo muhimu yanayotatua shida za wakenya ambao wengi wamekata tamaa, badaya yake ni mambo ya sifa sifa za hovyo?