Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchakato wa kusaka contractor na mkopo ulianzishwa na Serikali ya Magu ,Serikali ya Magufuli ilishakuwa imeji commit kwenye masharti ya kindezi tokea kutafuta financier ambae alishawapa masharti ya Wakandarasi wake..

Kadogosa ni appointee wa nani?Japo hawa pia Mwigulu,Mbarawa ni wahusika wakuu kumshawishi Rais akubali tender ya kindezi washtakiwe.

Wewe ni mpumbavu, tena sana. Rudi shule kajivunze kusoma na kuelewa unachosoma. CAG ameeleza bayana kuwa, "Mtoaji wa mkopo hana mandate ya kushinikiza mkandarasi"

Mkandarasi alichomekwa kienyeji na Bodi ya TRC na ulikuwa ni wajibu wa serikali iliyo madarakani kuhakikisha zabuni inatolewa kwa mujibu wa sheria za umma, ambapo haikufanyika hivyo. Sheria zilivunjwa serikali ikiangalia, na watu walipiga kelele, serikali ikakaa kimya, wakasaign kandarasi ya rushwa.

1. Zabuni inatolewaje bila kufata sheria na kuhoji uvunjwaji wa sheria katika kutoa zabuni?
2. Wajibu wenu kama serikali ni upi hapo?

Unamuhusishaje Magufuli na mambo yenu ya kipumbavu?
 
Juzi nilikua mtu wa kwanza kumsifia mama kwa hatua zake alizochukua, japo wewe bado ulionyesha kutoridhishwa bado na hatua hizo.

Nilimsifia mama kwasababu amefanya kazi nzuri, sio kwasababu ninampenda au kumchukia. Sikumbuki Kama ulishawahi kumsifia Magufuli kwa lolote lile, labda unikumbushe Kama nimesahau.
Mjinga huyo Mkenya wa kujifanya Mtanzania na chuki zake za kukaririshwa.
 
FtaYVh2WYAIYO-w.jpg

wakenya jamaa yenu anapika siujui mtakula saa ngapi
 
Wewe ni mpumbavu, tena sana. Rudi shule kajivunze kusoma na kuelewa unachosoma. CAG ameeleza bayana kuwa, "Mtoaji wa mkopo hana mandate ya kushinikiza mkandarasi"

Mkandarasi alichomekwa kienyeji na Bodi ya TRC na ulikuwa ni wajibu wa serikali iliyo madarakani kuhakikisha zabuni inatolewa kwa mujibu wa sheria za umma, ambapo haikufanyika hivyo. Sheria zilivunjwa serikali ikiangalia, na watu walipiga kelele, serikali ikakaa kimya, wakasaign kandarasi ya rushwa.

1. Zabuni inatolewaje bila kufata sheria na kuhoji uvunjwaji wa sheria katika kutoa zabuni?
2. Wajibu wenu kama serikali ni upi hapo?

Unamuhusishaje Magufuli na mambo yenu ya kipumbavu?
Wewe ndio mpumbavu una ugonjwa wa akili.

Maelezo ya masharti ya kushinikiza mkandarasi ametoa CAG au ni yangu?

Hiyo ndio conclusion ya CAG kwamba hakuna financier mwenye hiyo mandate Sasa Kwa nini waliohusika walikubali shinikizo batili?

Baada ya Uchunguzi wa kina Kila mtu atawajibika Kwa nafasi yake.
 
CAG ameeleza kuwa hilo swala halipo kwaa kwa mtoa mkopo kushinikiza lolote.

Ulikuwa ni wajibu wa serikali ya Samia kuhakikisha zabuni inatolewa kwa mujibu wa sheria na pale sheria ilipovunjwa zabuni ilitakiwa istopishwe na ilelezwe kinaga ubaga kwani zabuni itolewe kwa staili ile na kama kulikuwa na makandokando huko nyuma ndio hapo serikali ya Magufuli ingehusishwa.

haikuwa hivyo, badala yake, serikali ya Samia na wizara husika ilikalia kimya uvunjwa wa sheria katika kutoa zabuni licha ya watu kupiga makele juu ya possible foul play kwenye utoaji wa zabuni. Wakakaa kimya na kusign kandarasi ya rushwa.

Samia's regime had an ample time to undo whatever that was incorrect or inconsistent with the laws of the country.

Magufuli hausiki na ujinga huo.
 
Taifa 1 ready for launch this week at Space X!!! Kenya seems serious in Space Technology
View attachment 2585594
Siyo ya kenya mdogo wangu. Ni jina la kenya pekee
Elon Musk’s Space Exploration Technologies Corporation (SpaceX) announced on Tuesday, April 11, that the launch of Kenya’s first satellite dubbed ‘Taifa one satellite' would suffer delay.
 
Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.

Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.

Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
 
Back
Top Bottom