Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeleta mara ngapi? Si ulipewa tovuti ya Ofisi ya CAG ingia utaona au soma vyombo vya habari.

Siwezi kujichosha na mtu anafanya mzaha.
CAG ametaja mradi wa LOT ya 3 Makutupora-Tabora na LOT 4. Sasa ujenzi wa lots hizo zimesainiwa lini? wewe ni mzima kweli upstairs?

Lot 3 imesainiwa December 2021 na Samia na wakina mbarawa ambao Magufuli aliwatimua. na by December 2021 Magufuli alishakufa zaidi ya miezi 8. Unamuhusishaje na ujinga wenu mliosign? wewe ni mzima kweli upstairs?

 
Departure lounge ya JKIA ipo nje, abiria wanasubiri ku board wakiwa nje
1681236530362.jpg
1681236540732.jpg
1681236551970.jpg
 
usual tanzanians idling here all day glorifying nonsense.....Enyewe umbeya nayo mmeshinda
 
Naona maumivu ya kukosa mshahara kweny hii comment ..
anyway at least tunapiga umbea tukiwa tumeshalipwa mishahara..
Tena kabla ya trh 25, miaka nenda rudi sijawahi kusikia serikali ya Tanzania imeshindwa kulipa mishahara and mind u civil servants wa Tz wanalipwa pesa nyingi kuliko wa nchi zote EA na pia ni wengi kuliko nchi zote ukanda huu
 
Mkuu, mjadala wa aina hii uwa unachosha sana. Sidhani Kama unatenda haki kuchangia jambo ambalo huna uhakika nalo, hili ni tatizo kubwa Sana kwa sisi watu wa Dunia ya tatu(third world), ulipaswa kuuliza swali, "Kwanini bunge lilikataa kushirikiana na CAG?, Ili ujue sababu ndio uendelee kuchangia.

Bunge lilikataa kushirikiana na CAG kutokana na CAG kusema kwamba bunge ni "dhahifu" katika mahojiano yake na BBC alipokua ziarani Uingereza, Spika Ndugai alichukulia kauli hiyo Kama ni dharau kwa bunge, akamuita CAG kwenda kujieleza mbele ya kamati ya nidhamu na maadili ya bunge, kamati ilikubaliana na Spika na kumtia hatiani CAG kwa kulidharau na kulidhalilisha bunge, wakamtaka CAG kufuta kauli yake na kuliomba msamaha bunge, CAG alishikilia msimamo wake na kukataa kuomba msamaha, ndipo bunge likachukua uamuzi wa kumuandikia barua rais kumjulisha kusitisha kufanya kazi na CAG.

Sasa endelea na mchango wako....
Turudi kwenye uzi wetu, coz me naona tunapoteza tu focus ya uzi wetu.
 
Hajabisha mpk mda huu naenda kulala 😄
Huwa sijadili ujinga,kwani kama Mimi ni dalali inanipunguzia nini na wewe unaongezewa nini?

Tanzania kuendelea itachukua mda yaani imejaa watu wajinga wenye mentality za kijinga kijinga ,just imagine mtu ana enjoy kutumwa na kupangiwa ratiba za maisha yake Kwa kuajiriwa 😁😁.

Ndio maana ulidanganya wale wajinga wenzio humu na picha.Mtaishia kwenye brackets hivyo hivyo.
 
CAG ametaja mradi wa LOT ya 3 Makutupora-Tabora na LOT 4. Sasa ujenzi wa lots hizo zimesainiwa lini? wewe ni mzima kweli upstairs?

Lot 3 imesainiwa December 2021 na Samia na wakina mbarawa ambao Magufuli aliwatimua. na by December 2021 Magufuli alishakufa zaidi ya miezi 8. Unamuhusishaje na ujinga wenu mliosign? wewe ni mzima kweli upstairs?


Mchakato wa kusaka contractor na mkopo ulianzishwa na Serikali ya Magu ,Serikali ya Magufuli ilishakuwa imeji commit kwenye masharti ya kindezi tokea kutafuta financier ambae alishawapa masharti ya Wakandarasi wake..

Kadogosa ni appointee wa nani?Japo hawa pia Mwigulu,Mbarawa ni wahusika wakuu kumshawishi Rais akubali tender ya kindezi washtakiwe.



 
Back
Top Bottom