Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

most beautiful construction work in the region
20230412_105522.jpg
 
Mchakato wa kusaka contractor na mkopo ulianzishwa na Serikali ya Magu ,Serikali ya Magufuli ilishakuwa imeji commit kwenye masharti ya kindezi tokea kutafuta financier ambae alishawapa masharti ya Wakandarasi wake..

Kadogosa ni appointee wa nani?Japo hawa pia Mwigulu,Mbarawa ni wahusika wakuu kumshawishi Rais akubali tender ya kindezi washtakiwe.

Mkuu, mbona unayumba Sana katika kujenga hoja zako?, hivi mchakato wa bandari ya Bagamoyo si ulianzishwa na Kikwete, mbona Magufuli alipoingia madarakani alipoona haridhiki nao aliusimamisha?.

Mkuu, tuache sababu zisizokua na msingi, mara tu rais anapokula kiapo, Kila kitu kinakua chini yake, hii tabia ya kulaumu na kulalamikia utawala uliopita ni dalili ya kushindwa kazi, hiyo tabia tuwaachie wakenya, tusiige tabia za wakenya, tutakwama.
 
Ndugu achana nao hao. Tunawajua lengo lao.
 
Umesoma conclusion yangu?
 
Kuna muda Usipoteze Mudawako Kuwajibu Wajinga na wapuuzi
Waache waandike We Pita wima
Wala Usipoteze hata muda kusoma Upumbavu wao
 
Comments zinajionesha hakuna haja ya kuongea zaidi.
Watu wanataka uwajibikaji wewe unaleta hadithi sijui za wapi na kutunga tunga vitu vya dhahania.

Saizi ulitakiwa uwe umeshakuja na mkeka wa waliowajibishwa vinginevyo taarifa ya CAG ni ya kazi gani Sasa si kupoteza pesa tuu?

Rais mwenyewe keshasema wahusika watoe majibu ila wapambe Sasa ni nuksi seems nyie ni wakwamishaji na ni wanufaika wa Ufisadi.
 
Mkuu, mbona unayumba Sana katika kujenga hoja zako?, hivi mchakato wa bandari ya Bagamoyo si ulianzishwa na Kikwete, mbona Magufuli alipoingia madarakani alipoona haridhiki nao aliusimamisha?.

Mkuu, tuache sababu zisizokua na msingi, mara tu rais anapokula kiapo, Kila kitu kinakua chini yake, hii tabia ya kulaumu na kulalamikia utawala uliopita ni dalili ya kushindwa kazi, hiyo tabia tuwaachie wakenya, tusiige tabia za wakenya, tutakwama.
Nimesoma comment Yako iliyofutwa na mods.

Kwenye maelezo hapo Juu niliuliza kwamba Kuna sehemu yeyeote CAG ametaja jina la mtu wakiwemo Marais? Jibu ni hapana..

Sasa Iko hivi vile vile mtu anaposifiwa Kwa mazuri na mabaya awajibike nayo pia,kusema kwamba nasifia mazuri ya Sasa ambayo niyalianzishwa awamu ya 6 ni sahihi lakini pia na mabaya yaliyoanzishwa awamu hiyo mbona nyie Wafuasi wake hamyakubali?
 
Back
Top Bottom