Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka mambo muhimu kama hii. 🤣 🤣 🤣 Endeleeni tu kufuga vyura while more than 2 million of Tanzanians hawana hata stima.

Image
Unaleta statistics za 2019 hahahaha. Leta statistics baada ya maandamano ya kutaka Ruto atoe ugali.
 
Usimtaje Magufuli hapa alikuwa ndio mastermind ya upigaji na uozo wote na wote wanaotajwa hapa ni wezi walioletwa nae..

Upigaji Umekuwa ukifanyika miaka yote ya Mwendazake hakuna hatua zikichukukiwa zaidi ya Kulinda wezi..

Ushenzi wote uliofanywa na wateule wake na Bado wako wa kutosha nashangaa Rais anapata kigugumizi,afukuze kuanzia PM hamna kitu hapo..
Upigaji upi unaozungumzia, hao walioletwa na yeye wengine ni Nape, Makamba, Mbarawa pia na walitimuliwa bila kumsahau Lugola, na yule rafiki yake mlevi.

Embu tuambie upigaji wake.
 
Ni washenzi sana hao mbwa, yaani Kila Ufisadi ni source ya yule Rais wao na genge lake.Kuanzia kwenye noti za BoT,Sgr,bwawa,TanRoads,ndege ,uzembe huko Halmashauri nk kote alipachika wezi na wameiba na ndio wanasumbua saizi..Zaidi ya Bil.100 za Halmashauri zimeliwa yupo tuu anapiga propaganda za mapambio.

Mwendazake hakuwahi hata siku Moja kumchukulia mtu hatua Kwa ripoti za CAG zaidi ya kufukuza CAG..

Rais aache kusita sita na Kuzunguka zunguka,Fukuza PM na kamata hao washenzi uzuri yapo yanazunguka tuu..
Mbona hawakuiba kipindi hicho?

Hata wanasiasa wakubwa Chadema wanajua hili na wanasema hadharani kuwa, yaliyotokea kama yangetokea kipindi cha Magufuli ingekuwaje.

Swali hapa la kujiuliza ni hili, kwanini Bunge linakataa kufanya kazi na CAG wakati tu CAG katoa report yake inayoonesha kuna upotevu wa matrilioni Serikalini? Je ni kazi ya Bunge kuitetea Serikali au kuiwajibisha kwa kufuata maelekezo ya CAG?
Halafu Bunge lenyewe lilikuwa lile la agwe Job Ndugai la kupokea maelezo toka kwa mwendazake!
 
Mbona hawakuiba kipindi hicho?

Hata wanasiasa wakubwa Chadema wanajua hili na wanasema hadharani kuwa, yaliyotokea kama yangetokea kipindi cha Magufuli ingekuwaje.

Acha utoto,nani hakuiba? Huo ukaguzi ni wa kipindi gani? Unaongea kama ulikuwa unaishi Brunei 🤣🤣

Serikali ilovyokuwa inatishia uhuru unategemea ripoti za kina zingetoka? Ndio zinatolewa Sasa na Rais alikwambia CAG asiache kitu ndio maana kafanya Hadi kaguzi za miaka ya Mwendazake to date.
 
Tatizo serikali ya JPM ilikuwa na untouchables yaani wale wateule wake na mashetani wale aliokuwa akiwashukia hata kwa uonevu na pia kuwapora!

Where did the funds to do large and many projects that were not done in the past come from?

Why Samia in her disgraceful two years has borrowed more than half of all the borrowing ever done since independence?
 
Kwani Kwa Sasa hizo large projects zimesimama?

Ku borrow hakuwezi kuisha na Wala hakutasimama na Bora Yuko wazi kwamba Tunakopa kuliko kudanganya hatukopi.kumbe 70% ya pesa za Miradi ni mikopo tena commercial.Ndio maana Katika Kukopa huko kumerejesha uhai wa uchumi na miradi Mingi across sectors inafanyika na wewe unajua.

Humo humo kwenye large projects ndimo Ufisadi umefanyika na hiyo sio excuse wala kichaka Cha kujifichia Wala uhalalishi wa wizi,acha ushenzi..

Mazingira yaliyowekwa na Rais wa Sasa ndio yanasababisha tunafunguliwa macho maana hizo pambio ndio mlikuwa mnaimba kutwa kucha .
20230411_201034.jpg
20230411_201036.jpg
20230411_201039.jpg
20230411_201041.jpg
20230411_201056.jpg
20230411_201103.jpg
 
Acha utoto,nani hakuiba? Huo ukaguzi ni wa kipindi gani? Unaongea kama ulikuwa unaishi Brunei 🤣🤣

Serikali ilovyokuwa inatishia uhuru unategemea ripoti za kina zingetoka? Ndio zinatolewa Sasa na Rais alikwambia CAG asiache kitu ndio maana kafanya Hadi kaguzi za miaka ya Mwendazake to date.
Show us that part where CAG had pointed out foul play during the Magufuli's SGR period?

That's why I say you are a fool even reading is a problem, where will you get the ability to rationally evaluate and comprehend complex issues from tip to the toe?

You can never learn intellect in school, fool! The schools are meant for opening up your horizons, but intelligence is a talent that you don't have.

Vipaji havifundishiki unarithi, na hapa unadhihirisha kuwa, wazazi wako wote walikua MABOYA ndio maana hukuweza inherit akili. Wazazi wako walikuwa wacheza ngoma, bao, mama ntilie. Kutwa kucha uumbea!
 
Acha utoto,unataka wamtaje Magufuli Kwa jina? Wapi CAG amewahi mtaja Samia au Mkapa au Kikwete kwenye ripoti zake? Ndio maana inatajwa makosa miaka waliyokuwa kazini.
 
Back
Top Bottom