Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm wanielewe au wasinielewe wananifahamu msimamo wangu tangu 2017 sijawahi badilisha linapokuja suala la Mwendazake Kwa sababu sijawahi mkubali ila simchukii but wao wanamuona ni Malaika wao hajawahi kosea ni immortal 😁😁
Kwa yeyote yule ambae aliwahi kumpinga Magufuli hayuko sawa kichwani .. huwezi kuwa na akili timamu Halaf eti ulikua unapinga utawala wa JPM

Kama ubaya au wizi wake ni kujenga bwawa la JNHP, kujenga SGR, kununua Ndege, kujenga mabarabara nchi nzima, kujenga flyovers, kujenga zahanati, vituo vya Afya na hospitali, kujenga na kurekebisha airports zote nchini, kupanua bandari na kujenga bandari mpya za kutosha, kurekebisha na kujenga vivuko na meli, kurekebisha shule kongwe nchi nzima, kuijenga DODOMA yote kwa miradi lukuki pamoja na ule mradi wa mji wa serikali, kuirudisha nidhamu serikalini, kujenga flyovers DSM namirad ya DMDP, kuanzisha miradi ya ULGSP nchi nzima.. kama huu ndio ulikua ni wizi wake basi nitachagua kuibiwa na JPM milele, kama huu ndio ufisadi alifanya nitachagua kuendelea na ufisadi huu

Wewe mbwa kummko tunakujueni nyinyi opportunists .. mlivyopigwa pini mkachagua kumtukana huyu mzalendo wa kweli wa hili taifa,

Huu Uzi usingekua na maana yoyote kama si Magufuli ..

Kaeni kimya nyie vima
 
Umeshikiwa akili wewe.
 
Ubaya wake ni madudu ya wizi wa watu wa kabila lake aliyokuwa akiyafumbia macho na kuyatetea kwa nguvu zote mpaka kumfukuza CAG Prof. Assad aliyejaribu kuyaumbua!
 
Here is a veeery honest review on the matter of dar vs nairobi…. Let everyone watch it then tupatane nyuma ya tent to discuss
 
Kwa mfano Mimi sehemu nayofanyia kazi yaani wale wateule walioletwa nae hakuna hata mmja aliyekuwa anaweza kuwanyooshea mkono Kwa sababu walikuwa wanaogopwa na kusema ni watu wa system sijui wa Magufuli nk.

Sasa walitumia hiyo chance Kuiba sana,ilitengenezwa mentality mbaya na Kitendo Cha kumtimua CAG na hofu iliyokuepo hakuna mtu aliweza kuripoti si vyombo vya habari Wala TAKUKURU..

Binafsi nimewahi ku experience nikienda kufanya my routine task ila Nje na Kituo Cha kazi Kwa Mwezi ila watu wanakuogopa Wana ku skip yaani ilikuwa ni shida..
Eti sehem unayofanya kazi 🤣
Wew si dalali wa mabati? Au unabisha? Nikuumbue
 
I haven't watched the video yet, but am sure the video talks nice about Nairobi, that's why to you is very honest, am I wrong?

Nope it even says nairobi has very few varieties of food, nairobi is expensive compared to dar and the like…. But infrastructure wise nairobi has wider and better roads , and it’s hard to get dirt roads in nairobi compared to dar, in dar it has good main roads but if you go deeper into the estates you start finding untarmarked roads, they loved dar beaches and stuff …. So I feel it’s quite a honest review
 
How is current affairs related to the comparison? Current affairs come and go and it’s something that can be sorted out if the right decisions are made but there is the long term general comparison of two areas starting from social, entertainment, infrastructure, cost of living, weather and the like
 
Nope it even says nairobi has very few varieties of food, nairobi is expensive compared to dar and the like…. But infrastructure wise nairobi has wider and better roads , and it’s hard to get dirt roads in nairobi compared to dar, in dar it has good main roads but if you go deeper into the estates you start finding untarmarked roads, they loved dar beaches and stuff …. So I feel it’s quite a honest review
Eti Nairobi has clean roads than Dar, peleka hiyo perspective yako twitter au you tube uone aina za matusi utatukanwa na watu wakiwemo Wakenya wenzio
 
Leo umeweka hiyo Amphitheatre bila filter
Huwezi fananisha jkia na huu mnanda wa soko jnia

D2F1BzZWsAEBiJp.jpg
 
Eti Nairobi has clean roads than Dar, peleka hiyo perspective yako twitter au you tube uone aina za matusi utatukanwa na watu wakiwemo Wakenya wenzio

Not my words it’s from guys who have stayed in dar for over a year and are now in Kenya and when I say dirt roads inamaanisha un tarmacked roads. And kutukanua does not reflect the reality… just because there are areas that are dirty doesn’t mean there are no other places that are clean and it’s the majority
 
Back
Top Bottom