Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unawazimu wa kichwa nimekwambia chato ndio gateaway ya geita pamoja na tourism area ikiwemo rubondo and burigi 🤣🤣🤣

Na hapa utasemaje 😆😆😆
View attachment 2576041
Let me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?
 
Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇

So haya niliongea ya uongo au 😆😆😆👇👇
Fikeni hatua mukubali madhaifu yenu hata kama yanaumiza lamu port hata kabla ha mradi ilitabiriwa kua white elephant lakini mulikopa 500m usd mukajenga ili mushindane na tanzania bagamoyo port

Let me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?
Enjoy bila makasiriko usifananishe chato airport na isiolo international white elephant 🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Let me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?
Haya ndiio madhaifu munatakiwa kuyakubali mumepoteza pesa kujenga internationa airport ambayo sasa ni white elephant na bado imejengwa chini ha viwango 😆😆😆😆

Hawa ni wivu inawasumbua. Tukifanya maendeleo yetu eti ni waste of money wakati wao hawana hata chembe cha maendeleo wanaokejeli.

Magufuli alipojenga airport kijijini kwao that serves no purpose walikuwa wapi?
Alipojenga Airport Chattle tulipiga kelele wewe hukusikia humu?
 
Dual carriageway?
I cant count the number of towns in Kenya with dual carriageways. Endeleeni kuona wivu kwa development projects zetu wakati nyinyi hamna chochote
Most if not all of our towns have dual carriageway hamuwezi kushindana na sisi kwenye hilo
 
Haiitaji kwa maoni yako. What do you expect from a Tanzanian mwenye hajui interchange ni nini hata kwenye miji yao mikubwa? Kwamba Mwanza na Arusha hazijakuwa na haja ya kujenga interchanges? And you are here making noise about our projects!

That Lamu port unayobeza is already handling your shit cargo due to your ports' limited handling capacities and inefficiencies
Sisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.

Mfano mzuri ni serikali kuweka nguvu kwenye railway city project kwasababu watu wameshachungulia deal la real estate wakati wananchi wakulima na wafugaji wanakufa njaa maana serikali ilitakiwa ifanye irrigation kuwa national priorty wajenge mabwawa mengi ili kuondokana na njaa na vifo vya binadamu na mifugo.
 
Kila irrigation waliofanya waliishia kupoteza pesa za taxpayers kwa mafisadi 😆😆
 
Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa

Tanga port receives real ships and not boats as in the case of Lamu, the transhipment port for camels and charcoal.
 
Sisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.

Mfano mzuri ni serikali kuweka nguvu kwenye railway city project kwasababu watu wameshachungulia deal la real estate wakati wananchi wakulima na wafugaji wanakufa njaa maana serikali ilitakiwa ifanye irrigation kuwa national priorty wajenge mabwawa mengi ili kuondokana na njaa na vifo vya binadamu na mifugo.
Ukiwaambia ukweli wanakasirika kabisa 🤣
Imagine 1 trillion ksh wanatoa wapi kumalizia failed projects na hapo utakuta washatumia over 1 trillion ksh again pesa washabeba wanasiasa na investors wanaoshirikiana nao pesa ziko ulaya huko wanatungua wao wanahangaika kutafuta dollar
 
Ukiwaambia ukweli wanakasirika kabisa
Imagine 1 trillion ksh wanatoa wapi kumalizia failed projects na hapo utakuta washatumia over 1 trillion ksh again pesa washabeba wanasiasa na investors wanaoshirikiana nao pesa ziko ulaya huko wanatungua wao wanahangaika kutafuta dollar
Asante kwa kuileta hii ili kila mmoja wetu aone hasara imavyopatikana kwa uzembe wa viongozi wetu. Wao wakishachukua chao mapema mzigo unabaki kwa serikali.
 
Back
Top Bottom