Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ni wivu inawasumbua. Tukifanya maendeleo yetu eti ni waste of money wakati wao hawana hata chembe cha maendeleo wanaokejeli.

Magufuli alipojenga airport kijijini kwao that serves no purpose walikuwa wapi?
Huwez kwenda kujenga ahero interchange wakat nchi ina mahitaj kibao ambayo ni muhimu ndio maana projects zenu nyingi hua zinageuka kua white 🐘 na zimetumia pesa nyingi za mikono😆😆😆

Ahero mm hua napita nikitoka nakuru kuja kisumu au nikitoka migori kuja kisumu maeneo hayo nayajua sana yani hapahitajiki interchange yoyote hata kwa miaka 20 ijayo

Nchi inashida kila sehem alaf still unaenda kupoteza kujenga lamu port kwa mikopo na interchange ambazo hazitakua na faida even 30 yrs to come
 
Hiyo ni sawa na unakaa kwenye nyumba ya nyasi lakini nje umepaki G wagon na watoto hawaendi shule.

Talking about Arusha we constructed dual carriageway and Arusha town bypass due to increased traffic. This dual carriageway will connect Arusha and Moshi as denands picks up.
Dual carriageway? 😂😂😂
I cant count the number of towns in Kenya with dual carriageways. Endeleeni kuona wivu kwa development projects zetu wakati nyinyi hamna chochote
 
Huwez kwenda kujenga ahero interchange wakat nchi ina mahitaj kibao ambayo ni muhimu ndio maana projects zenu nyingi hua zinageuka kua white 🐘 na zimetumia pesa nyingi za mikono😆😆😆

Ahero mm hua napita nikitoka nakuru kuja kisumu au nikitoka migori kuja kisumu maeneo hayo nayajua sana yani hapahitajiki interchange yoyote hata kwa miaka 20 ijayo

Nchi inashida kila sehem alaf still unaenda kupoteza kujenga lamu port kwa mikopo na interchange ambazo hazitakua na faida even 30 yrs to come
Haiitaji kwa maoni yako. What do you expect from a Tanzanian mwenye hajui interchange ni nini hata kwenye miji yao mikubwa? Kwamba Mwanza na Arusha hazijakuwa na haja ya kujenga interchanges? And you are here making noise about our projects!

That Lamu port unayobeza is already handling your shit cargo due to your ports' limited handling capacities and inefficiencies
 
Tuambie ni ndege ngapi zinatua huko kwa siku with evidence
Nishakupa evidence ya air tanzania mara tatu kwa wiki na hata precision air inakwenda chato 👇👇👇👇
Screenshots_2023-04-04-09-33-58.png
 
Nishakupa evidence ya air tanzania mara tatu kwa wiki na hata precision air inakwenda chato 👇👇👇👇
View attachment 2575866
Those were chattered planes zilikodishwa kupeleka waombolezaji kwenye mazishi ya Magufuli na imeandikwa hapo vizuri sana. Those are not regular flights bongolala. Tupatie ratiba ya ndege zinazotua Chato airport on a daily basis
 
Haiitaji kwa maoni yako. What do you expect from a Tanzanian mwenye hajui interchange ni nini hata kwenye miji yao mikubwa? Kwamba Mwanza na Arusha hazijakuwa na haja ya kujenga interchanges? And you are here making noise about our projects!

That Lamu port unayobeza is already handling your shit cargo due to your ports' limited handling capacities and inefficiencies
Mwanza ndio sasa inahitaji interchange ila kwa arusha bado kidogo kutokana barabara zimetanuliwa za kutosha na bypass ziko za kutosha arusha

Usibishane na kitu hukijui na hujawah fika hata siku moja even dodoma kuna ujenzi wa interchanges unaendelea
 
Those were chattered planes zilikodishwa kupeleka waombolezaji kwenye maisha ya Magufuli na imeandikwa hapo vizuri sana. Those are not regular flights bongolala. Tupatie ratiba ya ndege zinazotua Chato airport on a daily basis
👇👇👇👇
 
Mwanza ndio sasa inahitaji interchange ila kwa arusha bado kidogo kutokana barabara zimetanuliwa za kutosha na bypass ziko za kutosha arusha

Usibishane na kitu hukijui na hujawah fika hata siku moja even dodoma kuna ujenzi wa interchanges unaendelea
Inahitaji ila haina. Sasa usione wivu kwa wale wanafanya maendeleo yao wakati hayo maendeleo hamna huko kwenu. Umesikia kilaza?
 
Kuhitaji haina maana haiko kwenye mchakato kwanza kuna ujenzi wa via duct ya SGR mwanza ambayo treni itapita juu kwa over 3km ndani ya city na ipo michakato ya kutanua barabara kama ya nyegezi kwenda mjini kutoka na bypass ya kisesa ilishakamilika 17km so mwanza lazma isubiri baadhi ujenzi umalizike

Na ukiangalia mbeya kuna flyover inajengwa hvi tunavoongea
 
Eti kuhitaji haina maana? Sisi kwetu ina maana ndio maana tunazijenga so wacha kukerwa. Shugulika na maendeleo yenu finyu
 
Sasa kuna miradi mingap mwanza inaendelea hvi ww unajua mwanza kuna miradi mingi sana kuliko mombasa and kisumu combined 🤣🤣🤣 eti shughuli ni finyu
 
Google is ur friend kama huna bundle sema
I knew you got nothing under your sleeves. Chato airport is receiving three flights a week, and all of them from Air Tanzania. Inasikitisha kwamba serikali "sikivu" ilijenga international airport ambayo ni mahame four times a week
 
Sasa kuna miradi mingap mwanza inaendelea hvi ww unajua mwanza kuna miradi mingi sana kuliko mombasa and kisumu combined 🤣🤣🤣 eti shughuli ni finyu
We were talking about interchanges. You started this war so you must finish it. Stop looking for an escape route
 
Hawa ni wivu inawasumbua. Tukifanya maendeleo yetu eti ni waste of money wakati wao hawana hata chembe cha maendeleo wanaokejeli.

Magufuli alipojenga airport kijijini kwao that serves no purpose walikuwa wapi?
Si wako humu wanachocha vile wana airport nyingi?🤣🤣🤣
 
Shida ni kwamba Tz hamuijui, mtu mwenye akili timamu unaweza kuitaja Tandale na Manzese pamoja na Kibera kwenye sentensi moja?
Wanajua Kila kitu, Sasa Kama hawana kitu Cha kujiokoa unafikiri watafanya nini?, Lazima watafute sehemu ya kujiliwaza
 
Back
Top Bottom