Hata hizo ni mizigoYes imapokea charcoal yetu na ngamia
Kubali kua ni white elephant hutachekwa hata siku moja 😆😆😆😆Hata hizo ni mizigo
Unaongea kwa hisia nyingi sana and saying nothing. Aliyekuambia projects zetu are not demand-driven ni nani? Ama hapo ndio kujifariji imekufikisha? Unataka kutuaminisha kwamba Mwanza, your second largest city haina demand ya kuwa na interchanges to ensure free flow of traffic? Wewe ni kiazi kabisaSisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.
Mfano mzuri ni serikali kuweka nguvu kwenye railway city project kwasababu watu wameshachungulia deal la real estate wakati wananchi wakulima na wafugaji wanakufa njaa maana serikali ilitakiwa ifanye irrigation kuwa national priorty wajenge mabwawa mengi ili kuondokana na njaa na vifo vya binadamu na mifugo.
White elephant wakati it's handling your cargo? Do you even listen to yourself?Kubali kua ni white elephant hutachekwa hata siku moja 😆😆😆😆
Handling 19 transshipment ship kwa miaka 2 hvi ww unaakili timamu 🤣 hebu tuambie imekusanya bei gani for those 2 yrs totaly nothing 😆😆😆White elephant wakati it's handling your cargo? Do you even listen to yourself?
Kelele gani mlipiga wakati mlikuwa mkinengua viuno wakati wa uzinduzi?Alipojenga Airport Chattle tulipiga kelele wewe hukusikia humu?
Tuletee za Bukoba tuoneMost if not all of our towns have dual carriageway hamuwezi kushindana na sisi kwenye hilo
www.esi-africa.com
Which means, port inaweza kaa miezi kadha bila pokea chochote!Imepokea transshipment 19 ndani ya miaka 2 🤣
👏👏👏👏 Nicxie Teargas NairobiWalker etc
Dear kenyans vote for mudathir yahya from yanga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 2576477
Yani kwa lugha fupi bila mbambamba ni white elephant na wao wanalijua pia😆😆Which means, port inaweza kaa miezi kadha bila pokea chochote!
SGR imeishia suswa iliposuswa 🤣🤣🤣Malengo yetu ya kufika Congo karibu yanatimia!Washafloat tender, Wale wa Suswa...........😃![]()
Tanzania, Burundi: Design, construction of electrified railway
The Governments of Tanzania and Burundi invite bids towards the design and construction of a multinational Electrified Standard Gauge Railway.www.esi-africa.com
Another one charging at the Waterfront Karen.Kenyans for you. The Rivian Electric Cars are now the new Maasai Mara Tour vehicles. The Rivian is ranked as the best electric SUV in the market.
View attachment 2576516