Simba na Yanga zote zikivuka hatua ya robo fainali na kuingia nusu fainali, tutakuwa juu ya DR Congo. Club moja ikishindwa kuingia nusu failani tutashindwa kumpita Congo, mpk zote mbili zivuke. Nitarud hapa kama zote zitafanikiwa kuvuka QF mwaka huuNa inaonesha tunapanda kwa alama nne tupo vzr sana kwakweli 👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿

