Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those were chattered planes zilikodishwa kupeleka waombolezaji kwenye mazishi ya Magufuli na imeandikwa hapo vizuri sana. Those are not regular flights bongolala. Tupatie ratiba ya ndege zinazotua Chato airport on a daily basis
Can you do the same for Isiolo International Airport?
 
Kilimani is calling...
Are you ready?
IMG_20230404_103250.jpg
 
I knew you got nothing under your sleeves. Chato airport is receiving three flights a week, and all of them from Air Tanzania. Inasikitisha kwamba serikali "sikivu" ilijenga international airport ambayo ni mahame four times a week
Aliekudanganya chato ni internationa ni nani ????🤣🤣🤣 wapi umeskia chato ni international au ulidanganywa na nani au ni vile unachuki na magifuli baada kuifanya tanzania kusonga mbele kwa nguvu za ajabu??😆😆

I knew you got nothing under your sleeves. Chato airport is receiving three flights a week, and all of them from Air Tanzania. Inasikitisha kwamba serikali "sikivu" ilijenga international airport ambayo ni mahame four times a week
happy now🤣🤣
 
Haiitaji kwa maoni yako. What do you expect from a Tanzanian mwenye hajui interchange ni nini hata kwenye miji yao mikubwa? Kwamba Mwanza na Arusha hazijakuwa na haja ya kujenga interchanges? And you are here making noise about our projects!

That Lamu port unayobeza is already handling your shit cargo due to your ports' limited handling capacities and inefficiencies
Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇

Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇

Haingekuwa inapokea mizigo zenu if that was the case
 
Haingekuwa inapokea mizigo zenu if that was the case
Tanga tu juzi wamefungua bearth mpya ishapokea 5 vessels within 2 weeks hata tusiandikie mate na wino upo 🤣🤣🤣

Bado unapinga lamu port sio white elephant basi utakua jaba wewe 😆😆😆

happy now🤣🤣

You think we forgot that Magufuli was buried on March 26th 2021, the same day this Tweet was posted? All these are chattered planes hired to ferry mourners during his burial
 
You think we forgot that Magufuli was buried on March 26th 2021, the same day this Tweet was posted? All these are chattered planes hired to ferry mourners during his burial
Unawazimu wa kichwa nimekwambia chato ndio gateaway ya geita pamoja na tourism area ikiwemo rubondo and burigi 🤣🤣🤣

Na hapa utasemaje 😆😆😆
20230404_122137.jpg
 
Back
Top Bottom