Mwanza kwa sasa inauhitaji wa interchange na iko inajengwa maeneo ya usagara na hii ni main arterial road ya kuingia mwanza. Sasa hapo Aehero sijui kuna nini na traffic kiasi gani ku justify hiyo infrastructure it is just laughable kujitwika mizigo ya madeni wakati its need wont be there for the next 40 years.Maneno za kujicomfort peleka Tandale uswazini. Unataka kutuaminisha kwamba miji kama Arusha na Mwanza hazijakuwa na uhitaji ya interchanges kama hizo?
You can't go talking ill about another person's development projects yet you lack the same even in areas that need them. Wivuuu!!



