Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They say Nairobi food tastes the same as the food back in the US or the foods country of origin.. this is so unlike Tanzanias food which does not taste the same as advertised.
Dar is cheaper than Nairobi hadi kwa taxi.
They aslo said Nairobis roads are better and more modern. Wamesema barabara za lami Nairobi zimejaa kila corner na bado mahali wanaishi hawajaweza kupatana na barabara ya matope unlike dar-is-a-slum ambapo wamesema ukitoka kwa major roads hizo barabara za kuingia ndani ya makaazi ni za matope.
Wamesema kuwa Nairobi imejengeka vizuri na ni modern skycrapers unlike Dar ambayo maendeleo ni machache,,nyumba nzuri ni chache mno na kuna traditional feel ukiwa Dar....
Jamaa kaamua kuwalisha maneno ili apate ahueni, we fala kweli wewe, hv we uko serious kabisa unashindanisha Dar na Nairobi?
 
Tanzania sasa ni ya 11 na inaendelea kupanda according to CAF 👇👇👇👇
View attachment 2575594
No ya saba now (2023).. kwenye hii page, mim huwa naedit sana kila baada ya mechi kuisha, mana ni vitu vyangu hiv (hobby)
Screenshot_20230404-000808_Chrome.jpg
 
Rank za nn hizi?
Ni ranks zinazotumiwa na CAF katika kuamua nchi iingize timu (clubs) ngapi kwenye mashindano ya CAF (CAFCC na CAFCL).. associations (nchi) ambazo ziko namba 1 hadi 12 zinaingiza clubs 2, both CAFCL na CAFCC, na zilizoko chin ya 12 zinaingia club moja moja. Pia zinatumika kwenye ishu ya draw au seedings (upangaji wa timu kubwa hadi ndogo kulingana na matokeo yao miaka 5 nyuma kwenye hayo mashindano)

20230404_003116.jpg

Screenshot_20230404-002957_Chrome.jpg
 
Wamekua fair kusema a little bit more..hakuna huge difference, kuhusu weather huwezi ilaumu Dar ni coastal city,Kuhusu Vyakula ni sahihi kabisa Unless kama unataka izo taste zimatch uende kwenye hotel kubwa kubwa,
Wangechimba usalama mngelamba zero, wangegusa huduma za kijamii pia mngelamba Buyu...mnabahati sana wakenya

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huduma za kijamii, unamaanisha nini?
 
They stayed in Tanzania for over a year and in kenya for about a week, let that sink in.
And in a week alone, they could see Nairobi is more modern, has better roads and more fun and vibrant than dar
 
And in a week alone, they could see Nairobi is more modern, has better roads and more fun and vibrant than dar
I'm pretty sure if they'd the opportunity to visit Kibera, they'd have a different opinion. Mind you, there are 52 weeks in one year, they just didn't have enough time to see for themselves how filthy Nairobi is.
 
Ni ranks zinazotumiwa na CAF katika kuamua nchi iingize timu (clubs) ngapi kwenye mashindano ya CAF (CAFCC na CAFCL).. associations (nchi) ambazo ziko namba 1 hadi 12 zinaingiza clubs 2, both CAFCL na CAFCC, na zilizoko chin ya 12 zinaingia club moja moja. Pia zinatumika kwenye ishu ya draw au seedings (upangaji wa timu kubwa hadi ndogo kulingana na matokeo yao miaka 5 nyuma kwenye hayo mashindano)

View attachment 2575665

View attachment 2575663

Back
Top Bottom