The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Kibera pekee ina wakazi over 2.5mEndelea kujiliwaza bongolala.
Ulisikia wapi?🤣....Iyo Simba yenyewe karibu kila player ni foreigner...
Alafu nyie ndiyo waafrika halisi kabisaWe have alot of games tunacompete na nchi za Europe,america etc
Si vitu local za kiafrika.

Punguza hasira basiLeta consistency,kila mwaka zikifuatana
Nchi ni mpira tu na mpira yenyewe mko rank sijui 150!!
Iyo Simba yenyewe karibu kila player ni foreigner.
Mkuze home base Talent.
Waste of tax payers money demand for that interchange is not there. Interchange unaweka porini kwa siku zinapita gari 10 dah vituko kama hivi viko Kenya tuu.Ahero interchange on your way to Kisumu from Kisii/Homa Bay
View attachment 2574924
Tanzania nzima huwezipata interchange kama hiyo nje ya Dar. Na hapa ndani kila siku tunaambiwa vile Tanzania inajenga miradi mikubwa![]()
Hiyo manati kubwa ndio launcher ya Teargass waliyopigwa polisi majuzi wakatoka mbio.Alafu nyie ndiyo waafrika halisi kabisaView attachment 2575019View attachment 2575020View attachment 2575021View attachment 2575022View attachment 2575023View attachment 2575024
Ebhn eehh hii ndiyo iliyorusha teargas kwa speed kubwa namna ile?Hiyo manati kubwa ndio launcher ya Teargass waliyopigwa polisi majuzi wakatoka mbio.







Naona mwenye gari amejihami mapema na maandamano kuweka vyumaukiwauliza wanakuambia ndio kichocheo kikubwa cha wao kuwa na service economy 😂😂😂😂
Hili na lenyewe ni lao na lipo rodini linadunda 😅😅😅
View attachment 2574142
Sure.Kwema humu?
Mnaonaje tukiweka sheria au utaratibu kuwa mtu akileta tweets au posts au evidence inayozidi tuseme miaka miwili au tatu kuanzia comment inayowekwa humu itambulike kuwa ni invalid. Mmeelewa?
Mfano, tuseme tweet ilipostiwa twitter mwaka Jan, 2020 inasema kenya wana watu maskin 20m (sijui ndo wanasema below poverty line).. hivyo mtanzania akileta hio tweet humu leo, tuhesabu kuwa tweet ni invalid (haina hoja).. mana nchi zinaendelea, japo kuna maeneo mambo yanarudi nyuma. So tuweke huu utaratibu post/tweet inakuwa valid for argument kama iko within two years, otherwise inavalid kama imezidi miaka miwil
Hzi habari za kupost twakimu ambazo zimetoka zaid ya miaka miwili au mitatu au kumi nyuma tuachane nazo. Tuongelee mambo ya sasa au hiv karibu
So nategemea, takwimu sijui za kipindupindu, ajali za ndege, ghorofa kuanguka, umaskin, matokeo ya mechi, idadi ya mizigo bandari, idadi ya magari, sijui nin nin (etc) zisizid miaka miwil...
Like () kama unaunga hoja
(nategemea wakenya watalike pia)
Maneno za kujicomfort peleka Tandale uswazini. Unataka kutuaminisha kwamba miji kama Arusha na Mwanza hazijakuwa na uhitaji ya interchanges kama hizo?Waste of tax payers money demand for that interchange is not there. Interchange unaweka porini kwa siku zinapita gari 10 dah vituko kama hivi viko Kenya tuu.
Thinking mentality ya most Kenyans when it comes to public spending iko very skewed. They normally tend to magnify and maximise on any little project and turn it into grandiose project so that they can increase the avenues of pocketing money from public projects while leaving the poor Kenyans cheering and praising these obsolete projects.
Sasa huo uhuru wa kujieleza Kenya uko wapi?, Kosa lake ni lipi?. Hawa huku Tanzania wanaolilia katiba mpya mbona wamekaa kimya?, Wanataka katiba mpya Ili nasisi tuwe Kama hawa?hii nchi hapana
Kwamba Uingereza ambapo pia kulitokea maandamano kama hayo ni ufukara?Gharama za maisha ni baba mmoja mama mmoja na ufukara, thus y huwezi kusikia Tz watu wanaandamana hovyo hovyo cz we have the biggest economy in East and Central Africa with high disposable income.
You don't even know what's happening in your own country and you are busy talking about KenyaWho on earth would wish for a toll road. Kwani taxes zetu zinafanya kazi gani?
Maandamano ya kupinga energy price ambayo ilitazamiwa kupanda mpaka kufikia £2500 kwa mwaka, kwa hesabu za haraka haraka £1=tshs 2900, so £2500×2900=7,250,000, so jibu hapa ni kwamba usifananishe maisha ya first world country na nyie kajamba nani shit hole country ambapo bei ya unga tu tshs 2000 per kg mnaandamana, nyie ni mafukara wa kutupa.Kwamba Uingereza ambapo pia kulitokea maandamano kama hayo ni ufukara?
Nyinyi huongea tu bila uelewa wa chochote
There is difference between cost of living and cost of ungaKwamba Uingereza ambapo pia kulitokea maandamano kama hayo ni ufukara?
Nyinyi huongea tu bila uelewa wa chochote
It was a proposal which was rejected by parliament. But even if we pay, money will go to Treasury to build schools, roads, Hospitals, not to a private people.You don't even know what's happening in your own country and you are busy talking about Kenya
![]()
Users of the Tanzanite Bridge to pay toll fees
Users of the newly inaugurated Tanzanite Bridge in Dar es Salaam should brace toll fees with effect from July.www.thecitizen.co.tz