Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maandamano ya kupinga energy price ambayo ilitazamiwa kupanda mpaka kufikia £2500 kwa mwaka, kwa hesabu za haraka haraka £1=tshs 2900, so £2500×2900=7,250,000, so jibu hapa ni kwamba usifananishe maisha ya first world country na nyie kajamba nani shit hole country ambapo bei ya unga tu tshs 2000 per kg mnaandamana, nyie ni mafukara wa kutupa.
wanataka kujifananisha nao 🤣, Hata shughuli za kiuchumi zao hazifanani na hao wa first world.
 
Maandamano ya kupinga energy price ambayo ilitazamiwa kupanda mpaka kufikia £2500 kwa mwaka, kwa hesabu za haraka haraka £1=tshs 2900, so £2500×2900=7,250,000, so jibu hapa ni kwamba usifananishe maisha ya first world country na nyie kajamba nani shit hole country ambapo bei ya unga tu tshs 2000 per kg mnaandamana, nyie ni mafukara wa kutupa.
Ni kweli sisi ni mafukafara ila hatujafika hapa
Screenshot_20230321-234710~2.png
 
It was a proposal which was rejected by parliament. But even if we pay, money will go to Treasury to build schools, roads, Hospitals, not to a private people.
Mwanzo ilikuwa kwamba you can't pay toll fees when you pay taxes. Sasa wimbo imebadilika eti even if we pay...! What a bunch of morons!
 
Invalid‼️
Post ina miaka 3 sasa.. tuletee chini ya miaka miwili. Huu ndo utaratibu mpya sasa, ukileta post yenye takwimu, hakikisha haijavuka miaka miwili
Aliyoleta kilaza mwenzako ichoboy ni chini ya miaka miwili?
 
Nigeria na nyie nani ni mafukara zaidi? Wamewazidi kila kitu, mpaka GDP, mnachowazidi ni maslums tu kwamba wao wana ma slums lkn yenu ni makubwa zaidi. Sasa nyie na Nigeria nani mwenye maskini wengi.
Kwa hivyo leo GDP ina umuhimu kwa sababu ya Nigeria ni kubwa kuliko yetu? Lakini yetu ikiwa kubwa kuliko yenu hapo hakuna umuhimu wowote!! 😃😃😃😃
Mibongolaa mtasumbuka sana na bado!
 
Back
Top Bottom