Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Hao wanaokufa njaa na kupelekewa misaada ya chakula wamejumuishwa kwenye hesabu ya 20 million.Unabisha vitu vipo wazi kabisa, kati ya Tz na Kenya ipi raia wanakufa njaa? Ipi inaletewa misaada ya chakula? Mbn mnapenda ubishi wa kitoto?




