Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua nadhani huna uelewa wa untouchables wa Sukumagang walivyokuwa hawawezi kuguswa kwenye taasisi!
Hivi Sasa mama ndiye aliyeshika usukani, akishindwa huo ni udhahifu wake na atakua hiyo nafasi hatoshi.
Mkuu, hakuna excuse yoyote kwa mama kushindwa kurekebisha haya mambo, neno "Sukuma gang" linatumika kuficha udhahifu wa viongozi wa Sasa, hakuna hicho kitu mkuu.
 
Alafu hizi gari za namna hii wanazipendea nn hawa jamaa.
ukiwauliza wanakuambia ndio kichocheo kikubwa cha wao kuwa na service economy 😂😂😂😂

Hili na lenyewe ni lao na lipo rodini linadunda 😅😅😅

20230331_182536.jpg
 
Hivi Sasa mama ndiye aliyeshika usukani, akishindwa huo ni udhahifu wake na atakua hiyo nafasi hatoshi.
Mkuu, hakuna excuse yoyote kwa mama kushindwa kurekebisha haya mambo, neno "Sukuma gang" linatumika kuficha udhahifu wa viongozi wa Sasa, hakuna hicho kitu mkuu.
Mama afukize Sukuma gang waliohusika na mikataba ya kitapeli.
 
Sio tu awafukuze, awatie ndani Ili warudishe hiyo pesa, unakumbuka Rugemarila na Seith walifanya makosa kipindi Cha Kikwete lakini Magufuli aliwatia ndani Ili warudishe pesa, hakusingizia "Msoga gang" Ili kushindwa kuchukua hatua, angekua dhahifu angejificha nyuma ya kivuli Cha "Msoga gang" Ili kuficha udhahifu wake, neno" Sukuma gang" linatumiwa na watu wanaoshindwa kufanya kazi kuficha madhahifu Yao.
 
Tanzania hakuna hiyo Sheria labda wafanye kama plea bargaining
 
Back
Top Bottom