ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nyie hata hio ligi ya africa hamupo ndio ajabu😆😆😆😆 wivu utakusaidia nnMko ligi za kiafrika bado!!!!
Mtafute ata mchezo Moja mcheze na nchi za maaana
Nyie hata hio ligi ya africa hamupo ndio ajabu😆😆😆😆 wivu utakusaidia nnMko ligi za kiafrika bado!!!!
Mtafute ata mchezo Moja mcheze na nchi za maaana
Mpelekee haya maneno Afande Muhoozi [emoji1787]That in East Africa, you can fvk with anyone but Kenya
Hiyo ni Africa, kwenye kombe la Africa ulitaka timu za Africa zikachuane kwenye world stage ya kombe lipi, huo ni msimamo wa ligi kubwa zaidi Africa na timu za Tz zote zimepenya na nyingine imeongoza kabisa, unapaswa ujisikie fahari kwa timu za EA hazipo nyuma, japo roho inakuuma ila ukweli utabaki kwamba Tz ipo juu kwa ss kwa soka la vilabu barani Afrika hata ile huwezi kubadili hilo.Yaaani hakuna mchezo mnacompete world stage!!!
Nchi ya watu 65million
Tupo ligi za Afrika na Tz inaibeba EA, inapaswa mjivunie pia.Mko ligi za kiafrika bado!!!!
Mtafute ata mchezo Moja mcheze na nchi za maaana
Kuna hii hapa pia, ni Tz pekee hapa East and Central Africa imewahi kucheza na timu bora zaidi duniani.Mko ligi za kiafrika bado!!!!
Mtafute ata mchezo Moja mcheze na nchi za maaana
Kwani hii hapa [emoji116]Mko ligi za kiafrika bado!!!!
Mtafute ata mchezo Moja mcheze na nchi za maaana
Alete na yeye Kibera Fc ikicheza na timu ya ulaya tuone asilete maneno ya kanga.Kwani hii hapa [emoji116]
Tumecheza na timu ya wapi? Mathare United au? View attachment 2574878View attachment 2574879
Peleka malalamishi yako World BankNdiyo maana joto la jiwe akakuambia usijibu kwa ushabiki Boss, punguza hasira kwanza alafu chill zen tuendelee, sasa Tz inawezaje kuongoza kwa umaskini ukanda huu wakati kuna Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi mpaka Sudan. Achilia mbali hilo bado hapo hapo ni nchi mnayokuja kuomba misaada mingi tu ikiwamo chakula cha bei rahisi, mnapata matibabu na mmefika mbali mnaomba mpk reserve ya dollar, hivi wewe inakuingia akilini hiyo mkuu kwamba hiyo nchi inaweza kuwa maskini kuliko hizo nilizozitaja hapo juu? Niwie radhi mkuu kwa kuingilia kati [emoji120]
Na hajui hata real madrid tulishawahi kucheza nayo 😆😆😆Kwani hii hapa [emoji116]
Tumecheza na timu ya wapi? Mathare United au? View attachment 2574878View attachment 2574879
Mchina anaakili sana ashajua baada ya miaka 27 hizo toll zitakua hazitamaniki na pesa yake itakua isharudi mara 20 🤣🤣🤣Nairobi Expressway toll stations. I like how they used a different design for each station View attachment 2574912View attachment 2574913View attachment 2574914View attachment 2574915View attachment 2574916View attachment 2574917View attachment 2574918View attachment 2574919View attachment 2574920View attachment 2574921
Sawa tumekuskia 😆😆😆😆
You wish it was in Dar 😂😂😂😂Mchina anaakili sana ashajua baada ya miaka 27 hizo toll zitakua hazitamaniki na pesa yake itakua isharudi mara 20 🤣🤣🤣
Sisi tunamimani kua zimbabwe ndio poor country so wao wana afadhali 17% kuliko nyinyi kwanza hii habari unaipokeaje wewe kama wewe??🤣🤣🤣🤣Hii tweet unazungusha hapa kila siku to counterattack that WB report but it mentions 40% ya wakenya. Kila siku tunakufanyia hesabu kuonyesha 40% ya wakenya ni watu wangapi but you are too dumb to understand anything.
40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20m na 28m gani nyingi?