Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii tweet unazungusha hapa kila siku to counterattack that WB report but it mentions 40% ya wakenya. Kila siku tunakufanyia hesabu kuonyesha 40% ya wakenya ni watu wangapi but you are too dumb to understand anything.

40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20m na 28m gani nyingi?
70% mpo kwenye umaskini
IMG_1084 (1).jpg
 
Sisi tunamimani kua zimbabwe ndio poor country so wao wana afadhali 17% kuliko nyinyi kwanza hii habari unaipokeaje wewe kama wewe??🤣🤣🤣🤣

Na aliekudanganya muko 50m ni nani??kenya is over 55m na munakimbilia 60m

Ni ajabu kuskia zimbabawe ina nafuu kuliko kenya tena kwa 17% ni ajabu sana 🤣🤣🤣

Wewe endelea kuamini hivyo ukiwa hapo Tandale kwa mfuga mbwa. Cha msingi ni kwamba hakuna siku 20 million itakuwa nyingi kuzidi 28 million
 
Wewe endelea kuamini hivyo ukiwa hapo Tandale kwa mfuga mbwa. Cha msingi ni kwamba hakuna siku 20 million itakuwa nyingi kuzidi 28 million
Ukweli hautabadilika na narudia kukwambia siku hzi zimbabwe ina nafuu zaidi kuliko kenya kwenye extreme poverty ww hushktuki tu bado 😆😆😆
 
Ahero interchange on your way to Kisumu from Kisii/Homa Bay
View attachment 2574924
Tanzania nzima huwezipata interchange kama hiyo nje ya Dar. Na hapa ndani kila siku tunaambiwa vile Tanzania inajenga miradi mikubwa 😂😂
Sasa unataka kusema ndio inaashiria nn?? Munaenda kujenga projects ambazo hazina tija kwa taifa kwa sasa ndio maana debt inaelekea 80% to GDP ratio

Ahero mm napajua vzr sana hebu ww tuambie kuna umuhimu gani wa hio interchange ahero??

Ndio maana mumefkia hatua hata kupambana na njaa hamuwezi kwasababu uchumi ulishakufa kwa projects zisizo na sababu kwa sasa 😆😆😆😆😆

Hzi ndio zile project unazoskia tunazifanya 👏👏👏👇👇👇👇 na hii ni 2020

Unakimbilia kujenga interchange ahero wakat maji hakuna nairobi capital city
Akili za mwendawazimu 😆😆😆
 
Ukweli hautabadilika na narudia kukwambia siku hzi zimbabwe ina nafuu zaidi kuliko kenya kwenye extreme poverty ww hushktuki tu bado 😆😆😆
Nami pia nakuambia kwamba ukweli hautabadilika kwamba 20m iwe nyingi kuliko 28m
 
Hii tweet unazungusha hapa kila siku to counterattack that WB report but it mentions 40% ya wakenya. Kila siku tunakufanyia hesabu kuonyesha 40% ya wakenya ni watu wangapi but you are too dumb to understand anything.

40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20m na 28m gani nyingi?
Nyie mpo zaidi ya milioni 60 sio hamsini, yani tangu 2015 mmebaki hapo hapo milioni 50 tu na kupelekeana moto kote huko mpaka kwenye national park [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna tofauti hapo, zote ni Chinese design, wazembe mmeshindwa japo kupeleka maoni yenu, mmewaachia wachina kila kitu.
Kama zinakukosesha amani njoo uzing'oe. Foreign designs zipo nchi nyingi tu. Hata ikulu yenu design yake ni ya kiarabu na ndipo anapoishi Rais wenu!!
 
Ahero interchange on your way to Kisumu from Kisii/Homa Bay
View attachment 2574924
Tanzania nzima huwezipata interchange kama hiyo nje ya Dar. Na hapa ndani kila siku tunaambiwa vile Tanzania inajenga miradi mikubwa [emoji23][emoji23]
Inakaa third world infrastructure, sisi tukijenga kitu hatujengi kijuakali juakali msee.
 
Nyie mpo zaidi ya milioni 60 sio hamsini, yani tangu 2015 mmebaki hapo hapo milioni 50 tu na kupelekeana moto kote huko mpaka kwenye national park [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So you know better than our government? Bongolala, mbona 60m kidogo? Weka iwe hata zaidi ya 100m
 
Wewe endelea kuamini hivyo ukiwa hapo Tandale kwa mfuga mbwa. Cha msingi ni kwamba hakuna siku 20 million itakuwa nyingi kuzidi 28 million
Unabisha vitu vipo wazi kabisa, kati ya Tz na Kenya ipi raia wanakufa njaa? Ipi inaletewa misaada ya chakula? Mbn mnapenda ubishi wa kitoto?
 
Back
Top Bottom