Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nahisi kama ni suala la tunnel ilitakiwa ianze kabla ya ujenzi wa BRT phase 3 ila kwa sasa sina hakika kama litawezekana unless wapate akili ya kuweka three level interchange
Three level ina maana kuvunja ile flyover na space hamna kumbuka kuna SGR overpass Mandela road halafu junction ya Uhuru road Buguruni! Mimi naongelea kitu practible yaani hizo lanes za BRT Mandela na Nyerere kuwa na extra 2 Lanes to n fro katika BRT lane karibu na junction say kutokea airport inayoenda underground na kuibukia Mandela road BRT lane n vice versa!
 
Hivi Mbarawa haoni tatizo linalokuja pale TAZARA junction baada ya BRT kuanza ku-operate? Hivi ina-cost kiasi gani kuipitisha mabasi ya mwendokasi juu kwa kujenga daraja kama la magari yanayoenda airport au kujenga tunnel? Ni kukosa maarifa ama?

Kuna BRT itapita Mandela Road kutokea uhasibu,taifa,buruni,ubungo labda lengo lao ni kukonect hizo Barbara chini.
 
Tunnel pia inawezekana kujengwa kuunganisha na Mandela road yaani mabasi ya BRT yanayotoka Nyerere Road na kwenda Mandela road na vice verse! wakati ya moja kwa moja daraja lijengwe katikati kuunganishwa na yale mawili yaliyopo!
For sure ile Tazara junction with brt itakuwa ni shida sana kwa motorists. Ingefaa aidha wantanyue barabara along mandela road ili ipite juu ya mfugale flyover yani iwe kama ubungo interchange au wa raise brt lane to the level ya mfugale flyover
 
sasa wale wajuaji waje kujibu humu! maana walipinga hili! Nakumbuka yule mama alishupalia utaratibu kufuatwa akapuuzwa!

Fsrf8PVXoAAyP0A

Fsrf-IQXwAAanI_

CC: joto la jiwe

Wale waliokuwa wanamtetea Masanja na kugawa tender bila ya kufuata sheria za manunuzi eti zinatuchelewesha, wako wapi? Masanja na genge lake la Sukumagangs wanapaswa kutoka TRC wanaota pembe sasa na kuingia mikataba inayoisababishia serikali hasara!
Embu tutofautishe kati ya zabuni za kujenga reli na hiyo iliyozungumziwa ya manunuzi ya rolling stock.

According to habari hii hapo juu Yapi Merkez anatoka wapi? Vichwa vinenunuliwa Hyundai Rotem na vile vya used 2 electric locomotives ambapo hatujui bei zake halisi. Behewa nyingine zimenunuliwa Sung Shin Rolling stock ambazo tayari zineshaanza kuingia nchini.
 
Usukumagang lazma uhusishwe! Angalia waliokuwa wanatetea sheria za manunuzi kuvurugwa! Hata ATCL angalia wahusika vizuri na kumbuka mwendazake alikuwa anawafumbia macho!
Mkuu, nimekutajia maeneo mengi ambayo yametajwa na CAG kuwa yamepoteza peza
1)ATCL
2)Hamashauri kote nchini
3)Mradi wa kuzalishia umeme wa mwalimu Nyerere
4)Pesa za COVID-19
5)Mradi wa daraja Kigongo Busisi

Ukiacha TRC ambayo inaongozwa na Kadogosa/Msukuma, huko kwengine nako pia ni wasukuma?. Kwanini usichukulie madudu ya TRC yanafanyika sawa Kama huko kwengine?.

Hivi Magufuli alivyomtimua Kitwanga kuwa waziri kutokana na madudu/Uzembe wake, kwanini hakutumia usukuma Ili amuache kazini?, alivyozuia ununuzi wa hovyo wa matrilioni ya pesa ktk jeshi la zimamoto uliotaka kufanywa na Kangi Lugola Kama waziri wa mambo ya ndani na kumfukuza kazi, kwanini asitumie ukabila kufumbia macho?.

Mkuu, Magufuli alikua mkali Sana katika kupambana na haya mambo, lakini bado kulikua na watu wanampiga, ila akigundua lazima mtu atakiona Cha moto.

Mama anapaswa kuchukua hatua ya kuzuia haya mambo kabla hayajatokea, na pale akishindwa kuzuia, basi akijua Kama hivi, lazima awachukulie hatua Kali wahusika wote.

Hivi Sasa Magufuli hayupo, mbona hatuoni mtu/Msukuma yeyote anayechukuliwa hatua?. Mkuu tuache lawama na ushabiki usiokua na faida, hivi Sasa mama amekabidhiwa madaraka, tunataka afanye kazi, wacheni kutafuta visingizio kuficha udhahifu wa serikali iliyoko madarakani.
 
Embu tutofautishe kati ya zabuni za kujenga reli na hiyo iliyozungumziwa ya manunuzi ya rolling stock.

According to habari hii hapo juu Yapi Merkez anatoka wapi? Vichwa vinenunuliwa Hyundai Rotem na vile vya used 2 electric locomotives ambapo hatujui bei zake halisi. Behewa nyingine zimenunuliwa Sung Shin Rolling stock ambazo tayari zineshaanza kuingia nchini.
Ujenzi wa reli na ununuzi wa rolling stocks zote ni zabuni! Uvunjaji wa taratibu za ununuzi haukuanza kwenye ujenzi wa SGR tu bali hata ununuzi wa rolling stocks na Mwendazake hakusema kitu na taasisi husika hazikuweza kuwabana!
 
Tunataka kuona mama anawaadhibu hawa wote bila huruma, ikiwemo warudishe hizi pesa, akishindwa tuite nini?, Kama kosa la kutoa tender lilifanywa na Sukuma gang, Je kosa la kutowachukulia hatua linafanywa na" gang" lipi?
 
unajua nadhani huna uelewa wa untouchables wa Sukumagang walivyokuwa hawawezi kuguswa kwenye taasisi!
 
Back
Top Bottom