7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Mkuu,haya matamko siyo mara ya kwanza na hayatakuwa ya mwisho,ni maneno yasiyokuwa na vitendo.Nyang'au mje na huku kujifunza the rule of law!
mwaka huu kuna watu wengi wanang'oka! Na lazima wango'oke! Tuemwachoka na ubinafsi wao!
Mama anakiwasha Kwa fujo zisizo umiza!!
Wezi serikalini ndio hao hao wafadhili wa wanasiasa, ni porojo kutuhadaa sisi wananchi ili tuendelee kutawaliwa kirahisi.
Hakuna jipya hawatafanywa chochote wataendelea kula kwa urefu wa kamba zao zilizoko shingoni na miguuni.