Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio tu awafukuze, awatie ndani Ili warudishe hiyo pesa, unakumbuka Rugemarila na Seith walifanya makosa kipindi Cha Kikwete lakini Magufuli aliwatia ndani Ili warudishe pesa, hakusingizia "Msoga gang" Ili kushindwa kuchukua hatua, angekua dhahifu angejificha nyuma ya kivuli Cha "Msoga gang" Ili kuficha udhahifu wake, neno" Sukuma gang" linatumiwa na watu wanaoshindwa kufanya kazi kuficha madhahifu Yao.
Haya majibu huwa unayatoa wapi chief[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tuishi.tanzania_1680461843972121.jpg
tuishi.tanzania_1680461295643558.jpg
20230402_090131.jpg
 
Kuwafilisi
Kipindi cha marehemu Sokoine na mwl Nyerere nchi iliwaka moto kwasababu ya wahujumu uchumi, hata sasa hivi wakiamua inawezekana.

Sheria ya kutaifisha mali ya umma ipo haina tofauti na kufilisi mali za umma zilizoibwa na watendaji wa serikali.

Mahakama ya mafisadi lazima ilianzishwa kwa sheria elekezi zinazohusiana na utaifishwaji wa mali ya umma.
 
Back
Top Bottom