IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,448
Lakini shida yako huwa ganiZiko kila corner maana yake ziko ngapi ?? 😆😆 neno ziko kila kona maana yake ziwe nyingi kuliko probox
Lakini shida yako huwa ganiZiko kila corner maana yake ziko ngapi ?? 😆😆 neno ziko kila kona maana yake ziwe nyingi kuliko probox
Shida yangu hua nawaambiwa ukweli japo mchungu 🤣🤣🤣Lakini shida yako huwa gani
Monday loading only one day left [emoji122][emoji122] turauke asbh mpaka tuhakikishe ugali unakaa juu ga meza [emoji38][emoji38][emoji38]
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pipeline ni ushuzi wa bata hakuna nafuu hata dakika moja😆😆😆😆Now pipeline is concidered low income area ya watu maskani but have you seen how organized the houses are compared to dar
🤣🤣🤣🤣 ajabu bado inaendesha hasara na bado inapigwa penalty kila mwaka ya kutolipa deni ya mchina kwa wakat