Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Sio East Africa tuu bali ni East and Central Africa.Wawakilishi pekee kutoka East Africa.. wakenya muwe mnatupa shikamoo kwenye mpira.. muwe na adabu
sasa wale wajuaji waje kujibu humu! maana walipinga hili! Nakumbuka yule mama alishupalia utaratibu kufuatwa akapuuzwa!Hili swala la Kadogosa kutoa tender Kwa Yapi merkezi bila ushindani Geza Ulole alikipinga humu,wengi hatukumwelewa, sasa haya ndo matokeo yake
Ilishakua poor design kabla hiyo brt, sasa gari ikitoka nyerere itaenda vipi mandela road, hapo hamna namna brt itapita chini tu, hii itatoke pale chang'ombe, pale uhasibu na tazara as wellHivi Mbarawa haoni tatizo linalokuja pale TAZARA junction baada ya BRT kuanza ku-operate? Hivi ina-cost kiasi gani kuipitisha mabasi ya mwendokasi juu kwa kujenga daraja kama la magari yanayoenda airport au kujenga tunnel? Ni kukosa maarifa ama?
Who would want your shilling.Kenya ditching the US dollar for our local currency wise move the start of returning our glory [emoji4]
Hivi Mbarawa haoni tatizo linalokuja pale TAZARA junction baada ya BRT kuanza ku-operate? Hivi ina-cost kiasi gani kuipitisha mabasi ya mwendokasi juu kwa kujenga daraja kama la magari yanayoenda airport au kujenga tunnel? Ni kukosa maarifa ama?
Tunnel pia inawezekana kujengwa kuunganisha na Mandela road yaani mabasi ya BRT yanayotoka Nyerere Road na kwenda Mandela road na vice verse! wakati ya moja kwa moja daraja lijengwe katikati kuunganishwa na yale mawili yaliyopo!Ilishakua poor design kabla hiyo brt, sasa gari ikitoka nyerere itaenda vipi mandela road, hapo hamna namna brt itapita chini tu, hii itatoke pale chang'ombe, pale uhasibu na tazara as well
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ndio kwanza ninaisikia kuhusu masala ya kugawa tender, hebu twende taratibu.sasa wale wajuaji waje kujibu humu! maana walipinga hili! Nakumbuka yule mama alishupalia utaratibu kufuatwa akapuuzwa!
![]()
![]()
CC: joto la jiwe
Wale waliokuwa wanamtetea Masanja na kugawa tender bila ya kufuata sheria za manunuzi eti zinatuchelewesha, wako wapi? Masanja na genge lake la Sukumagangs wanapaswa kutoka TRC wanaota pembe sasa na kuingia mikataba inayoisababishia serikali hasara!
Sikiliza maelezo ya CAG kagusia ugawaji wa tender kiholela unaoitia serikali hasara saa hii! Na pia Miradi haiishi! Na pia kwenye manunuzi ya mabehewa utaratibu haukufuatwa kwa sababu anazozijua Kadogosa na genge lake! Na yule aliyekuwa tayari kujenga reli/mabehewa kwa bei rahisi kaachwa kapewa wa bei ya juu! Wacha ubishi mzee kuna wizi umefanyika na hili linaonekana mara nyingi taasisi zinapoanza kuvuruga sheria za manunuzi! Wahusika wanakuwa wameahidiwa commissions! Na unapoanza ku-violate sheria mwanya wa rushwa unapatikana na matokeo yake tender zinaenda kwa wasiostahili!Hii kitu ndio kwanza ninaisikia kuhusu masala ya kugawa tender, hebu twende taratibu.
1)Tender ya kipande Cha kwanza Cha Dar - Moro kilitolewa kwa kushindanisha makampuni mbalimbali, hatimae alupatikana mshindi, vivyo hivyo kwa kipande Cha pili na Cha Tano ambacho alipata mchina.
Hebu tupeane maelekezo, hiyo tender ni ipi, au ni tender za kununua mabehewa na vichwa, kwasababu hiyo ndio sijaisikia vizuri?
Jambo lingine mkuu, sidhani Kama Kuna sababu ya kuhusisha huu upigaji/uzembe na neno Sukuma, kwasababu mumesikia huko ATCL kuhusu hiyo pesa iliyoongezwa, huko halmashauri, zaidi ya 80B zimepotea, na katika miradi yote mikubwa ya nchi, zaidi ya 400B zimetumika vibaya kwa kulipa fidia kutokana na ucheleweshaji, vipi huko kote ni wasukuma?.sasa wale wajuaji waje kujibu humu! maana walipinga hili! Nakumbuka yule mama alishupalia utaratibu kufuatwa akapuuzwa!
![]()
![]()
CC: joto la jiwe
Wale waliokuwa wanamtetea Masanja na kugawa tender bila ya kufuata sheria za manunuzi eti zinatuchelewesha, wako wapi? Masanja na genge lake la Sukumagangs wanapaswa kutoka TRC wanaota pembe sasa na kuingia mikataba inayoisababishia serikali hasara!
Usukumagang lazma uhusishwe! Angalia waliokuwa wanatetea sheria za manunuzi kuvurugwa! Hata ATCL angalia wahusika vizuri na kumbuka mwendazake alikuwa anawafumbia macho!Jambo lingine mkuu, sidhani Kama Kuna sababu ya kuhusisha huu upigaji/uzembe na neno Sukuma, kwasababu mumesikia huko ATCL kuhusu hiyo pesa iliyoongezwa, huko halmashauri, zaidi ya 80B zimepotea, na katika miradi yote mikubwa ya nchi, zaidi ya 400B zimetumika vibaya kwa kulipa fidia kutokana na ucheleweshaji, vipi huko kote ni wasukuma?.
Hii nchi imekua na watu wazembe na watumishi wezi na wasiowajibika, Hilo ndilo alilokua akipambana nalo Magufuli, huyo CAG mwenyewe alifurushwa bandari kutokana na uzembe wa kutosimamia vizuri mapato.
Muhimu ni mama kukaza na kuwawajibisha watu waliopoteza hizo pesa kuzirudishwa Kama alivyokua akifanya Magufuli.
Locomotives tender
CAG said TRC twice rejected the tender to purchase the locomotives and passenger coaches from the lowest bidder at an offer of $263.4 million and instead made a non-competitive purchase of $478 million.
According to the CAG report, the non-competitive option cost the taxpayers an additional $215 million.
TRC is also said to have gone into the purchase without a performance guarantee, leading to a loss of Tsh13.7 billion (5.3 million euros). “Due to this delay, the consultant’s period was extended, and that resulted in an increase in the fee of Sh26.2 billion,” CAG indicated in a note.
President Samia pointed an accusing finger at some civil servants and heads of divisions for their deliberate failure.
Alafu hizi gari za namna hii wanazipendea nn hawa jamaa.nchi yenye barabara za lami mara 2 ya Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2573981View attachment 2573982
Kweli kabisa.Jambo lingine mkuu, sidhani Kama Kuna sababu ya kuhusisha huu upigaji/uzembe na neno Sukuma, kwasababu mumesikia huko ATCL kuhusu hiyo pesa iliyoongezwa, huko halmashauri, zaidi ya 80B zimepotea, na katika miradi yote mikubwa ya nchi, zaidi ya 400B zimetumika vibaya kwa kulipa fidia kutokana na ucheleweshaji, vipi huko kote ni wasukuma?.
Hii nchi imekua na watu wazembe na watumishi wezi na wasiowajibika, Hilo ndilo alilokua akipambana nalo Magufuli, huyo CAG mwenyewe alifurushwa bandari kutokana na uzembe wa kutosimamia vizuri mapato.
Muhimu ni mama kukaza na kuwawajibisha watu waliopoteza hizo pesa kuzirudishwa Kama alivyokua akifanya Magufuli.
Kwahiyo unataka kutuambia kwamba bei ya cargo plane imeongezwa na huyo mwendazake unayemsema hapa? Upotevu wa fedha za halmashauri ni huyo mwendazake anahusika maovu yote yanayofanyika awamu hii ni ya huyo mwendazake unayemsema lkn yale mema aliyoyafanya ni ya mama au sio? Mna chuki mbaya sana nyie Wapemba.Usukumagang lazma uhusishwe! Angalia waliokuwa wanatetea seria za manunuzi kuvurugwa! hata ATCL angalia wahusika vizuri! kumbuka mwendazake alikuwa anawafumbia macho!
Tatizo ni kua atamwajibisha nani wakat ni watoto wa mjomba na shangaziJambo lingine mkuu, sidhani Kama Kuna sababu ya kuhusisha huu upigaji/uzembe na neno Sukuma, kwasababu mumesikia huko ATCL kuhusu hiyo pesa iliyoongezwa, huko halmashauri, zaidi ya 80B zimepotea, na katika miradi yote mikubwa ya nchi, zaidi ya 400B zimetumika vibaya kwa kulipa fidia kutokana na ucheleweshaji, vipi huko kote ni wasukuma?.
Hii nchi imekua na watu wazembe na watumishi wezi na wasiowajibika, Hilo ndilo alilokua akipambana nalo Magufuli, huyo CAG mwenyewe alifurushwa bandari kutokana na uzembe wa kutosimamia vizuri mapato.
Muhimu ni mama kukaza na kuwawajibisha watu waliopoteza hizo pesa kuzirudishwa Kama alivyokua akifanya Magufuli.
Nahisi kama ni suala la tunnel ilitakiwa ianze kabla ya ujenzi wa BRT phase 3 ila kwa sasa sina hakika kama litawezekana unless wapate akili ya kuweka three level interchangeTunnel pia inawezekana kujengwa kuunganisha na Mandela road yaani mabasi ya BRT yanayotoka Nyerere Road na kwenda Mandela road na vice verse! wakati ya moja kwa moja daraja lijengwe katikati kuunganishwa na yale mawili yaliyopo!