Aaaahhh Boss tuwe na heshima hata kidogo basi, $1m co pesa ya kitoto hiyo mkuu, nyie kwa hali mliyonayo kwa ss msingeliweza kutoa hata $500,000 usiilaumu govt yako kutoa mashuka pekee. Pia pale inapopaswa kupongeza tupongeze tuu hata kama inauma.Yani $1m ndo inafanya uone mna GDP kubwa??? 1m sasa ni pesa kwa nchi yoyote? Hizo pesa hadi somalia wanaweza zitoa bila kustruggle
Soka la Tanzania lipo mbali sn kwa sasa, kama tumeweza kumfunga mbabe wa East Africa definitely we are now the giant of East Africa in football mana hata klabu zetu pia hazishikiki.
Lake Tanganyika Hapa kazi tu.dege letu kwenye 1 and 2
Ni spana tuu mwanzo mwisho pumbavu!!!Huyu ametokea wapi tena![]()
Kwa sugar companies zilizopo Tanzania huu ni sawa na uchafu.View attachment 2561754
View attachment 2561755
View attachment 2561756
So there was this sugar company capable of producing 10,000 tones of sugar almost complete and nobody even knows hehe we do our stuff with stealth, online we complain but kwa ground things are happening
We kweli Punga yani kwa akili zako za kizinja zinja mnaikaribia Tanzania katika sekta ya sugar productions?Hii ingekuwa inajengwa huko Tanganyika the whole world would have known
Africa chafu sana, futa hii picha pumbavu!!!This is Eastleigh
View attachment 2561783
Wewe zinjathropus ulienda kwenye maandamano ya unga mbona hukunijibu.
Leta pichaThat road can't even compete with Dongo kundu Bypass
We zinjathropus naona bado unajiliwaza na vitu zilipendwa, sisi tulishatoka huko, kwa sasa tunapeleka misaada ulaya huko.