Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Mama ataibadili hii Nchi Hadi mtashangaa..Tunatisha sana kwakweli.
Huku ndiko Serikali ingeweka Nguvu Ili watu maskini waweze kupata huo.mkaa Kwa bei za mkaa wa kawaida au chini yake wakati Tunaenda taratibu kwenye gas.Tanzania tuna hazina kubwa ya coal inayoweza kutumika miaka zaidi ya 500, hii ni bonge 1 la investment kutoka STAMICO
View attachment 2563649View attachment 2563650View attachment 2563651View attachment 2563652View attachment 2563653
Tena unetengenwzwa Kwa namna ambayo Ina emit kiwango kidogo sana Cha hewa chafu na hatarishi kulinganisha na mkaa na kuni..haina tatizo lolote la sufuria aina yoyote unatumia, kuna documentary ya STAMICO nikiipata nitaiweka
Machadomo mara nyingi Huwa ni majinga yasiyotumia akili..Kwahiyo ulitakaje?, Tuache kuwasaidia watu waliopata janga kubwa la kidunia Ili tujenge vyoo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Diesel sgr vs Electric sgr ni kama mbingu na ardhi.Look at how long the boarding platform is, look at how long the shade is. Kumaanisha no passenger can be rained on ama kuchomwa na jua while boarding or alighting from the train.
View attachment 2564589
Now look at ya Tanzania which is only 5 meters boarding platform with a shade of 2.5 meters.
View attachment 2564595
Kenya hana real economy kama Tanzania uchumi wake ni cosmetic tuu ikitokea global turbulence kidogo tuu basi uchumi husambaratika kirahisi maana hauna base.
There's nothing like diesel SGR na Electric SGR. SGR can't neither be electric nor diesel. Go back to school.Diesel sgr vs Electric sgr ni kama mbingu na ardhi.
Kuchamba kwingi utatoka na mavi.There's nothing like diesel SGR na Electric SGR. SGR can't neither be electric nor diesel. Go back to school.
Nilisema baada ya BoT ku revise growth rate ya 2022 kuwa 5% Kuna uwezekano wa Uchumi Wetu kufika 6% mwaka 2023..Kusema kweli tukiwa wawazi kabisa pasipo bias tabia za nchi ya uchumi wa kati zinaoneshwa zaidi na Tz kuliko Kenya katika kila nyanja, nipo tayari kurekebishwa lkn kama nakosea ila macho yapo kwa ajili ya kuona na masikio kwa ajili ya kusikia.
Yes, as long as the batteries of electric trains preserved power it can be used on any railway with the same width as the train's. Shule ni kitu muhimu kijana, don't show your ignorance here.Kuchamba kwingi utatoka na mavi.
SGR is an infrastructure developed to enable trains to pass over it. Now if you have developed the infrastructure to pass a diesel train, will you be able to pass an electric train?
Jibu swali.