Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Mbezi Louis Dar es salaam View attachment 2563801
bora wanalipaAh kumbe ni expressway wamekimbia mafuriko huko chini
Seriously I thought ni bridge.
Mbezi Louis Dar es salaam View attachment 2563801
bora wanalipaAh kumbe ni expressway wamekimbia mafuriko huko chini
Seriously I thought ni bridge.
Mie nasubiri ya malaba my briefcase company ipate tenda.
Kwasababu mmeandamana kisa bei ya unga imekuwa kubwa, hivyo basi kuanzia leo nyie mpo katika uchumi wa ujamaa na Tz ndio capitalistic nation because you will never hear capitalists cry about high cost of living, punga.
Yani ni wajinga sana hawa watu sasa sijui wanapata faida gani kuwa waongo yani inaskitisha sana 🤣🤣🤣🤣Hahahaha, umewashika kwenye kinena wanataka kupiga "U - turn".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yani $1m ndo inafanya uone mna GDP kubwa??? 1m sasa ni pesa kwa nchi yoyote? Hizo pesa hadi somalia wanaweza zitoa bila kustruggleTunaposema GDP kubwa maana yake huja na responsibilities.
GDP kubwa isiwe kubwa kwenye karatasi tui bali ionekane kwenye uhalisia wake.
View attachment 2564002View attachment 2564003
$1m unanunua kilo ngapi za unga?Yani $1m ndo inafanya uone mna GDP kubwa??? 1m sasa ni pesa kwa nchi yoyote? Hizo pesa hadi somalia wanaweza zitoa bila kustruggle
Walipeleka mashuka ya kimasai 😆😆😆 hvi kweli mturuki anashida na mashuka serious???$1m unanunua kilo ngapi za unga?
Je, kenya dollars zipo? Mlipeleka nini kweli Uturuki? Mashuka au?
Alaf pesa inaenda kwa nani??🤣🤣🤣bora wanalipa
Mbona wasioe au nyie mbona msitoe? Dola ya kula kwa siku hamna ndio itakuwa ya msaada?Yani $1m ndo inafanya uone mna GDP kubwa??? 1m sasa ni pesa kwa nchi yoyote? Hizo pesa hadi somalia wanaweza zitoa bila kustruggle
That road can't even compete with Dongo kundu BypassIngekuwa ipo Kenya mngeisifia hadi tungejuta kuanzisha battle![]()
Toa ujinga wako hapa. The first bus is a higer Touring Bus, in East Africa it's only fabricated by Banbros. Dar coach has never produced such kind of buses.Angalia vyuma vya Dar Coach kwanza halafu uniambie tutakuja Kenya kweli kuchukua juakali type buses?View attachment 2563987View attachment 2563988View attachment 2563989View attachment 2563990