Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm kweli sina akili kwann ulisema golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya???🤣🤣🤣 ni kweli hakuna assembly plant ya golden dragon kenya sasa unataka niseme ipo wakat muunganishaji mwenyewe ndio huyo banbros magumashi matupu acheni janjajanja
Ebu screenshot penye nilisema buses zote za Golden Dragon Tanzania zinaunganishwa Kenya. Ukinionuesha natoka JF, ama tayari ushaanza kuchanganyikiwa?🤣😂😂
 
Mm kweli sina akili kwann ulisema golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya???🤣🤣🤣 ni kweli hakuna assembly plant ya golden dragon kenya sasa unataka niseme ipo wakat muunganishaji mwenyewe ndio huyo banbros magumashi matupu acheni janjajanja
Assembling ya Golden Dragon inafanyika? Just answer Yes or No 😂😂😂
 
Poleni sana achani kulia raia 👇👇😭

Kunyaland nchi ya kisenge sana, huko tayari wameshaweka refugees camp ya wahanga wa bandits, just imagine jeshi limeshindwa kulinda wananchi mpaka ndani ya nchi kunakua na refugees wa ndani kisa tu kdf imeshindwa kulinda raia

cha ajabu zaidi huoni hili likiwa big deal kama unga sababu hawa ni kutoka kabila dogo halina sauti, ingekua wakikuyu, kalenjin, jaluo wanafanyiwa hivi na bandits tofauti ingekua kubwa sana, kunyaland ni nchi ya hovyo sana
 
I know you are hurting to learn that Golden Dragon buses are now assembled in Kenya 😂😂😂
Hakuna plant assembly ya golden dragon kenya sasa niumie nn wakat bus zote za golden dragon zinatoka china haya hapo mm naumia nn 🤣🤣🤣🤣
 
Kunyaland nchi ya kisenge sana, huko tayari wameshaweka refugees camp ya wahanga wa bandits, just imagine jeshi limeshindwa kulinda wananchi mpaka ndani ya nchi kunakua na refugees wa ndani kisa tu kdf imeshindwa kulinda raia

cha ajabu zaidi huoni hili likiwa big deal kama unga sababu hawa ni kutoka kabila dogo halina sauti, ingekua wakikuyu, kalenjin, jaluo wanafanyiwa hivi na bandits tofauti ingekua kubwa sana, kunyaland ni nchi ya hovyo sana
KDF hakuna kitu, wakenya wenyewe wameshalidharau jeshi lao

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
KDF hakuna kitu, wakenya wenyewe wameshalidharau jeshi lao

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

cha kushangaza Eric omondi kila siku utamkuta yupo barabarani sababu unga wanauziwa 1500 anataka utolewe bure, huku north kunyaland yote ni bandits playground people are killed like flies + hunger deaths lakini hakuna influencers wa kuwasemea sababu sio wakikuyu hao, what a failed state!

Tanzania huwezi ona huu upumbavu, mtanzania apate shida sehemu yoyote Watanzania wote wataongea
 
Yani ww utanidanganya kote lakini sio kwenye masuala ya magari never ever budaa hakuna aseembly plant ya golden dragon kenya na haitatokea

Eti golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya mbona hio kauli huendelei nayo tena
Body yenyewe umeiona imekaa Kikenya sisi huku tuna Golden Dragon buses nyingi tuu lakini sijaona yenye body ya juakali kama hiyo ya Banbros
 
Hao watu wanafanya nini hapo? Na assembly plant huwa inafana aje?
Angalia vyuma vya Dar Coach kwanza halafu uniambie tutakuja Kenya kweli kuchukua juakali type buses?
Screenshot_20230324-172706_Opera.jpg
Screenshot_20230324-172711_Opera.jpg
Screenshot_20230324-172720_Opera.jpg
Screenshot_20230324-172728_Opera.jpg
 
Back
Top Bottom