Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo umetudanganya ujui maana ya UBEPARI KWA UKAMILIFU WAKE NA MAANA YA UJAMAA KWA UKAMILIFU WAKE
Hili nalo punga la wapi hili? Mmelitoa wapi hili jitukabeja au limetokea kibera hili? Kwanza wewe jitukabeja ulienda kwenye maandamano ya unga?
 
Hamna akili. Mnaomba msaada ya kujenga vyoo at the same time you are bragging of giving donations
Nature yenu ni ya ajabu sana.Nyinyi ni wabnafsi, wachoyo, walafi na waroho.

Hivi ikitokea nina njaa ya kufa nikaja kuomba hata kipande 1 cha mkate ili niokoe roho yangu utaninyima kwasababu unauhitaji wa mikate miwili lakini unao mmoja?

Watanzania hatuko hivyo ,sisi tuna utu,tunawajali na wengine.

Ukisikia nchi ni tajiri ni pamoja na mioyo mizuri ya kutoa kwa wengine, tatizo la mwenzako unalichukulia kama lako.

Huwezi kutajirika kama huna moyo wa kutoa au kuwasaidia wengine. Utajiri wetu unaanzia rohoni halafu unakuja mwilini.

Chakula huwa hakituchukulii muda ndio maana hamsikii tukifa njaa. Tunatoa pia kwasababu tunavyo. Ni jadi yetu kutoa, siyo lazima uwenavyo vingi ndipo utoe.

Tetemeko la Kagera mbona nyinyi mlitusaidia kwani tulisema kitu? Kusaidiana ndio utu wa mwanadamu. Sisi hatutaacha kutoa msaada pale tunapoweza.

Hivi unajua hata kusema pole napo ni msaada.

Pole kama tutakuwa tunawakwaza pale tunapowasaidia wengine.
 
Kusema kweli tukiwa wawazi kabisa pasipo bias tabia za nchi ya uchumi wa kati zinaoneshwa zaidi na Tz kuliko Kenya katika kila nyanja, nipo tayari kurekebishwa lkn kama nakosea ila macho yapo kwa ajili ya kuona na masikio kwa ajili ya kusikia.
Kenya hana real economy kama Tanzania uchumi wake ni cosmetic tuu ikitokea global turbulence kidogo tuu basi uchumi husambaratika kirahisi maana hauna base.
 
Back
Top Bottom